Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Mnachanganya mtu kasomea kitu kingine harafu mnataka awe na anajua kwa kila jambo ni kitu kigumu mimi nadhani mtu akisomea kitu fulani atakijua hicho kitu kwa ufasaha alichosomea ila sio kwamba atajua na vitu vingine ambavyo watu wanajaji hapana maana muda wale kautumia kwenye hicho kitu alichosomea..Je, wewe una PhD ili uweze kutathimini wenzako? Kama unayo kweli, tupe link ya andiko lako kwani PhD za maana huwa zinawekwa online na vyuo vilivyo vya maana. Haya mambo ya kudharau kazi au elimu ya watu si sahihi, hasa kama wewe huna, la sivyo wewe una wivu na roho ya kichawi
Sahihi mkuu ,ubobee kwenye Mifugo,uulizwe Udereva Wa meli lazima uchemke!Mnachanganya mtu kasomea kitu kingine harafu mnataka awe na anajua kwa kila jambo ni kitu kigumu mimi nadhani mtu akisomea kitu fulani atakijua hicho kitu kwa ufasaha alichosomea ila sio kwamba atajua na vitu vingine ambavyo watu wanajaji hapana maana muda wale kautumia kwenye hicho kitu alichosomea..
Upo sahihi!!!! Si kila mjuzi wa sheria atakuwa mjuzi wa mapishiMnachanganya mtu kasomea kitu kingine harafu mnataka awe na anajua kwa kila jambo ni kitu kigumu mimi nadhani mtu akisomea kitu fulani atakijua hicho kitu kwa ufasaha alichosomea ila sio kwamba atajua na vitu vingine ambavyo watu wanajaji hapana maana muda wale kautumia kwenye hicho kitu alichosomea..
Ni ngumu sana kutetea ujinga.Kuna clip moja ilisambaa ikimuonyesha mtu aliyeitwa profesa wa Tanzania akihojiwa kwenye Tribunals za nje ambapo alikuwa anajibu maswali ya mawakili wa huko juu ya Tanzania Kuvunja mkataba na kampuni ya uwekezaji, profesa huyo alionekana akijibu ugoro in other words snuff ndipo nilipogundua kuwa uprofesa wa Tanzania ni takataka hovyo kabisa. Sasa Cha kushangaza kijana machachari John Mnyika amemparaza wakili wa mchongo aitwae katuga Kwa maswali yake uchwara naamini leo hatarudia tena lazima aache ndala.
Tanzania kuna profesa ukiwatoa wale wa udaktari wa binadamu na shivji? Tanzania kuna wachapisha majarida ambayo wao wanayaita research ndio maana wakikutana na vijana kwenye kona ambayo haina nafasi ya kudesa mfano: mahakamani au kwenye tribunals ndio utaelewa nachokisema, lakini pia nakubali kuwa mimi sio profesa japo pia uprofesa wa Tanzania siutaki maana ni weupe mno wewe jaribu kumchukua Mkumbo anayeitwa profesa umlinganishe na Bony Yai wa chadema kwenye hoja ndio utaelewa kuwa kumbe kuwa profesa Tanzania ni ujinga mtupu, kwa maana hiyo ukiwatoa niliowataja hapo juu maprofesa wengine ni takataka tupu wamebaki kukariri maandishi na kurasa bila kufanya critical thinking kama alivyosema mwamba Lissu.Hujanisoma! Mimi nimeumia na kichea chako cha habari, hususan uprofesa wa Tanzania ni takataka. Kwa maana hii naamini wewe si Profesa ila unaumia unapomuona mtu ni Profesa. Profesa ni walimu wa watoto wetu, ni vyema kuwaheshimu na kama kuna ambaye amepata uprofesa bila kukidhi haja, tumzodoe yeye si wote.
Acha kukwepa swali la msingi. Je wewe unayo PhD? Kama huna nyamaza mpaka ukiipata na kutuonesha ndipo uje kufanya tathimini ya PhDs. Sikio haliwezi kuzidi kichwa.Tanzania kuna profesa ukiwatoa wale wa udaktari wa binadamu na shivji? Tanzania kuna wachapisha majarida ambayo wao wanayaita research ndio maana wakikutana na vijana kwenye kona ambayo haina nafasi ya kudesa mfano: mahakamani au kwenye tribunals ndio utaelewa nachokisema, lakini pia nakubali kuwa mimi sio profesa japo pia uprofesa wa Tanzania siutaki maana ni weupe mno wewe jaribu kumchukua Mkumbo anayeitwa profesa umlinganishe na Bony Yai wa chadema kwenye hoja ndio utaelewa kuwa kumbe kuwa profesa Tanzania ni ujinga mtupu, kwa maana hiyo ukiwatoa niliowataja hapo juu maprofesa wengine ni takataka tupu wamebaki kukariri maandishi na kurasa bila kufanya critical thinking kama alivyosema mwamba Lissu.
Mimi nataka nijue dini ya katuga ili nitoe maoni yanguKuna clip moja ilisambaa ikimuonyesha mtu aliyeitwa profesa wa Tanzania akihojiwa kwenye Tribunals za nje ambapo alikuwa anajibu maswali ya mawakili wa huko juu ya Tanzania Kuvunja mkataba na kampuni ya uwekezaji, profesa huyo alionekana akijibu ugoro in other words snuff ndipo nilipogundua kuwa uprofesa wa Tanzania ni takataka hovyo kabisa. Sasa Cha kushangaza kijana machachari John Mnyika amemparaza wakili wa mchongo aitwae katuga Kwa maswali yake uchwara naamini leo hatarudia tena lazima aache ndala.
Champion, hamna mtu mwenye Hekima/ Busara akawa hana akili.Akili na busara hivi mtu huzaliwa navyo. Na vinakuwa kadri umri wako unavyosogea.ukiwa navyo vyote ni vizuri zaidi na automatically unakuwa na utu.Na hapo mbele utazawadiwa kitu kinaitwa hekima
Ukiwa msomi/kiongozi halafu ukawa navyo hivi Kila unaposimama unapewa attention ya kutosha na walio juu Yako na chini yako.
Na ukivikosa ndio kama hivi.
Hata ukiwa umesoma sana na una akili nyingi lakini ukiwa CCM akili hizo zinapukutika unabaki kuwa kilaza wa kawaida tu, mfano ni Profesa Kabudi wa Tume ya Warioba na Profesa Kabudi wa sasa hivi, mfano mwingine ni Profesa Mkumbo wa Chadema na Profesa Mkumbo wa CCM.Kila mwanadamu ana akili,ila TU zinatofautiana..
Iwe umesoma au haujasoma.
Unaweza kuwa daktari/profesa lakini sio kigezo kwamba umewazidi akili wote wasiofikia hapo ulipo.
Ma Prof si ndiyo kina Kitila ,kalamaganda ,wamelisaidia nini taifa zaidi ya uchawa?Kuna clip moja ilisambaa ikimuonyesha mtu aliyeitwa profesa wa Tanzania akihojiwa kwenye Tribunals za nje ambapo alikuwa anajibu maswali ya mawakili wa huko juu ya Tanzania Kuvunja mkataba na kampuni ya uwekezaji, profesa huyo alionekana akijibu ugoro in other words snuff ndipo nilipogundua kuwa uprofesa wa Tanzania ni takataka hovyo kabisa. Sasa Cha kushangaza kijana machachari John Mnyika amemparaza wakili wa mchongo aitwae katuga Kwa maswali yake uchwara naamini leo hatarudia tena lazima aache ndala.
Hekima mtu azaliwi nayo inajengwa kwa ukomavu wa maisha, kuiga na kujifunza.Akili na busara hivi mtu huzaliwa navyo. Na vinakuwa kadri umri wako unavyosogea.ukiwa navyo vyote ni vizuri zaidi na automatically unakuwa na utu.Na hapo mbele utazawadiwa kitu kinaitwa hekima
Ukiwa msomi/kiongozi halafu ukawa navyo hivi Kila unaposimama unapewa attention ya kutosha na walio juu Yako na chini yako.
Na ukivikosa ndio kama hivi.
unamaanisha kuwa ninapoona mjinga wa PHD niache kuongea wewe pia ni mjinga kama hao maprofesa wa mavyeti/certificates without substance, so hao wajinga wanapaswa kupuuzwa na kila mwenye akili timamu kwasababu hao phd holders na maprofesa hewa wamedhihirisha ni kwa namna gan hizo Elimu zao ni ujinga mtupu kuzidi hata mtu wa Form Four.Acha kukwepa swali la msingi. Je wewe unayo PhD? Kama huna nyamaza mpaka ukiipata na kutuonesha ndipo uje kufanya tathimini ya PhDs. Sikio haliwezi kuzidi kichwa.
Soma vizuri uelewe ndio ukomentiHekima mtu azaliwi nayo inajengwa kwa ukomavu wa maisha, kuiga na kujifunza.
Soma vizuri mkuu uelewe halafu ukomentiChampion, hamna mtu mwenye Hekima/ Busara akawa hana akili.
Mwenye hekima ana subra, myenyekevu, mwema, mtendaji baada ya kufikiri n.k, hivyo uwezi tenda hayo bila kuwa na akili, mwenye akili ana hekima na mwenye hekima ana akili.
Mimi nimesoma sana sana. Nikikwambia elimu yangu utashituka. Ukweli unabaki pale pale kusoma sana sio kigezo cha kuja mambo ama kuwa na critical thinking. Nawajua baadhi ya watu wana PhDs lakini kichwani watupu