Wanaonesha kupitia TV gani mkuu?LISSU STUKA!
Mnyika anafanya upotevu wa Muda, usiku uingie, Dola imsaidie MBOWE, Hotuba yake ilipaswa kuwekwa kwenye vijitabu, wajumbe wajisomee wenyewe.
Pia, Soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
Umeonae! Tatizo hawana muda wa kufikiri zaidi ya kuropoka tu!ndhani tatizo ni uelewa na ufahamu mdogo dhidi ya nini maana ya mkutano mkuu Taifa 🐒
Umeme utakatika usikuMhe.Mnyika ili kurahisisha zoezi la uhakiki na upigaji kura Fanya hivi,:
Ita Kanda husika , Mwenyekiti wa Kanda awe wa mwisho ktk mstari wa wajumbe wa Kanda yake, then ita jina la mjumbe halali wa Kanda hiyo mpe karatasi za kura apige Kisha achovye kidole kwenye wino usiofutika kirahisi.
Baada ya kupigwa kura akipenda arudi akae ukumbini au aende nje kupunga upepo kusubiri matokeo.
Ila unachofanya utapoteza muda mwingi sana labda Kuna jambo unalitengenezea mazingira nyakati za usiku.
Simple and Clear.
🤣🤣Wewe upo nchi gani mzee? Mnyika siku hizi ndio Mwenyekiti wa Chadema? 🤣🤣
UTV Azam chcnel 108Wanaonesha kupitia TV gani mkuu?
Hili uliloandika hapa ndio linalokwenda kutokea mkuu.hapa tayari tundu lisu ameshahujumiwa.
usiku umeme utakatwa na kisha watu wa tiss wataingilia uchaguzi huo na kuiba kura ili mbowe ashinde.