Mhe.Mnyika ili kurahisisha zoezi la uhakiki na upigaji kura Fanya hivi,:
Ita Kanda husika , Mwenyekiti wa Kanda awe wa mwisho ktk mstari wa wajumbe wa Kanda yake, then ita jina la mjumbe halali wa Kanda hiyo mpe karatasi za kura apige Kisha achovye kidole kwenye wino usiofutika kirahisi.
Baada ya kupigwa kura akipenda arudi akae ukumbini au aende nje kupunga upepo kusubiri matokeo.
Ila unachofanya utapoteza muda mwingi sana labda Kuna jambo unalitengenezea mazingira nyakati za usiku.
Simple and Clear.