NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Hivi johnthebaptist ni msukuma?
Political masturbation
Wanapoteza muda, yaani hao tukifanya propaganda kidogo kwisha habari yao.
Wasukuma huwajui hao, lowassa walimdekia hadi barabara kaulize alipata kura ngapi..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa halafu Mara ingine hushirikiana utasikia Zitto naye kapotea hajulikani alikotokea,Mara ohh Halima Mdee hajaonekana toka juzi simu yakee Yake Haipatikani upinzani nchi hi Ni uhuni na ujinga mtupuWanatengeneza muvi
Tumekwishaje sasa? Kwamba Mnyika aiongoze Chadema kuishinda CCM kwenye Uchaguzi wa 2020? You must be out of your mind!!!
Yes Mkuu, chama kinapoanza kutekeleza sera ya Utekaji na Ununuzi wa madiwani na wabunge njaa basi huna chama humo.CCM imekwisha shindwa siasa
Tumekwishaje sasa? Kwamba Mnyika aiongoze Chadema kuishinda CCM kwenye Uchaguzi wa 2020? You must be out of your mind!!!
John Mnyika one of the Greatest CDM product ...!!
Kijana wa nyumbani anapokabidhiwa mji ni furaha kubwa saana!!
Wale wa Diamond unaita nao walinzi? Subiri siku baiskeli ipate blast karibu ya na mtu apige kelele bundukiii! Uone jinsi wa livyo na mbio kuliko Harmorapa! Tunapozungumzia ulinzi hatuzungumzii show za InstagramM
diamond ana walinzi binafsi zaidi ya 10, mlinzi kapewa mbowe tu.kwa maoni yangu hats lissu angekuja tu apewe cover ya nguvu.gari au MTU yeyote akimfuatilia hovyo imekula kwao.huu unyonge Wa chadema Ni Wa kijinga.
Uhuru unatakiwa uanzie ndani ya chama... viongozi wa ngazi za juu wa chama waache kuhodhi mamlaka na demokrasia ya wanachama wake kufanya lililosahihi bila kuathiri katiba ya nchi, sheria na kanuni zilizopo.
Mfano wa kwanza, kitendo cha viongozi wa chama kuwanyima haki wanachama kugombea nafasi za uenyekiti serikali za mitaa kwa uchaguzi uliopita kwa sababu walizozisababisha wao (viongozi wa juu wa chama) kwa kushindwa kuwandaa wanachama vyema namna ya ujazaji fomu za kugombea, ni kitendo cha kupoka uhuru. Ili kuonyesha dhamira halali na sahihi ni lazima chama ki- tembelee yale kinayozungumza (Walk the Talk).
Mfano wa pili, kitendo cha kuwanyima haki wagombea nafasi ya uenyekiti wa chama kujieleza kwa muda sawa na wengine huku akipendelewa mgombea mmoja kujieleza kikampeni mara nyingi zaidi ya wenzake kwa visingizio mbalimbali...ni ukosefu wa uhuru ndani ya chama. Chama kiWalk the Talk.
Katibu Mkuu wa chama arekebishe hayo kwanza kwenye chama chake ndiyo aje kwenye jukumu hili lake analojipa la kufikirika.