Mnyika apewa Uchifu Mwanza na kupewa jina la Chief Malonja, ataka marekebisho ya Katiba

Mlidhania kuwa msukuma ni mwenyekiti wenu tu?
Imekula kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa swali hili kutoka kwako, ni dhahiri shairi...hoja nilizotoa juu ya mapungufu ya uhuru ndani ya "chama chetu", zimekukaba. Pole sana. Ila ujue uzungumzie usafi wa mtaa wakati nyumbani kwako ni kusafi. Ha ha ha ahaaaa!

Karibu.
 
Nimegundua kuwa ""mataga wa ccm ""safari hii wote ni wasukuma na bado sijajua chanzo chake

Utasema yote ....!!! Kisa mnakosa hoja za kusimamia. Tafuta hoja madhubuti za kusimamia, ili
" chama chetu " kisiabike majukwaani na mitandaoni. Usisahau uhuru ndani ya "chama chetu" ni muhimu sana. H aha ha ha haaa!

Asubuhi njema.
 
Hao ndiyo watu wakusimamia haki uchaguzi wa serikali za mitaa kakemea dhuluma iliyotembea, MUNGU anafurahishwa na hayo fara kweli ajiondoe ndiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi nenda kasali kwa Gwajima sababu ndo atawatimizia haja hiyo.... Hawa watu wana wisdom na si kama hao wachungaji wa mitaani waropokaji....Au ulitaka padri aanze kuruka ruka kanisani aipondee serkali uanze kushangilia... Kanisani hapo.... Fikiri wewe.
 
..... Duh! Hii nayo kali. Chief wa CDM naona maana hata mkuki ni mali ya chadema. Pole yake.
Yaani "chama chetu" kinaangamia kwa kukosa maarifa. Yaani kinadhani watanzania waleo ni wale wa 'kuzungusha mikono' na kubadilishiwa gia angani, waapiii!! Watanzania wa leo wanajitambua sana. " chama chetu" kina jiabisha sana kwa sababu kinaongozwa bila dhsmira ya kuwasaidia watanzania kujipatia maendeleo haraka bali dhamira ya kukwamisha chama makini cha kizalendo kuwanufaisha Watanzania wote. Wapi tindo na Salary Slip mje mrekebishe mambo....( mmeanza wenyewe mambo haya, msilalamike) Ha ha ha a aaa!!
 
Sijawahi kusikia kuna mtu amejitokeza kugombea nafasi ya mwenyekiti tofauti na yule mtukufu aliyepo
Utasema yote ....!!! Kisa mnakosa hoja za kusimamia. Tafuta hoja madhubuti za kusimamia, ili
" chama chetu " kisiabike majukwaani na mitandaoni. Usisahau uhuru ndani ya "chama chetu" ni muhimu sana. H aha ha ha haaa!

Asubuhi njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona sindano ya wasukuma wanao jitambua kumsimika mh Mnyika imewachoma wengi sana ukiwemo na wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanatuboa sana tena hovyo kabisa kwasasa inanibidi niunge juhudi.hamna namna
M
diamond ana walinzi binafsi zaidi ya 10, mlinzi kapewa mbowe tu.kwa maoni yangu hats lissu angekuja tu apewe cover ya nguvu.gari au MTU yeyote akimfuatilia hovyo imekula kwao.huu unyonge Wa chadema Ni Wa kijinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmhhh.
 
Naomba kuuliza,hii taarifa jana ilirushwa na tv yoyote au waliogopa kufungiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…