Mnyika apewa Uchifu Mwanza na kupewa jina la Chief Malonja, ataka marekebisho ya Katiba

Huo uchifu bandia kasimikwa na nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesha kupiga za shingo tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha aa! Lakini ukichunguza kwa umakini...utagundua, huyo Mkuu hayuko informed na kilichotokea. Atakuwa alilishwa maneno ya kuungaunga yaliyoandaliwa na viongozi wa kuu wa "chama chetu" kuwalazimisha wanachama wasusie uchaguzi ule lengo kuunyima nguvu za kutambulika. Bahati mbaya kwao walishindwa.Na hii nasisitiza hapa, viongozi wale walipoka uhuru uhuru wa wanachama wao kufaidi demokrasia ya kuchaguliwa. Sasa kama wanajeuri hao wakuu wa 'chama chetu' wasusie na uchaguzi wa madiwani, ubunge na rais.

Kujua huyo, Mkuu, hayuko informed hakugusia kabisa suala la upendeleo wa wazi ulifanywa kwa mgombea nafasi ya Uenyekiti wa 'chama chetu' makao makuu kwa kuruhusiwa kufanya kampeni muda mrefu zaidi ya mwenzake. Mwenzake alilamika, lakini akaishia kukejeliwa na Mama Mkuu wa 'bawacha', H ah ahaaaa!

Tutaelewana tu!!!
 
Naona unamsema mwenyekiti wako indirect
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi huu unamhusu mh Mnyika kusimikwa kuwa chifu wa wasukuma, hivyo basi wewe automatically lazima umheshimu chifu wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi huu unamhusu mh Mnyika kusimikwa kuwa chifu wa wasukuma, hivyo basi wewe automatically lazima umheshimu chifu wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haaa! Chifu m'download' kabila. Atuache kwanza, aende akatengeneze uhuru wa demokrasia ndani ya chama. Ajue yeye ndiye mtendaji. Kisha afuate ushauri wa prof huyu kuimarisha grassroots
===
"Some opposition parties are not participating but the reasons are known; most were not prepared to participate. Remember these are local governments where you need to have firmly established your roots down the villages whilst most political parties are predominantly urban based," says Prof. Ahmed Muhiddin.

The Minister for Local Government in Tanzania, Suleiman Jaffoh told reporters in Dodoma that the country was ready for today's election.

Local government elections are a great manifestation of democracy from the grassroots and more than 12,000 villages will participate.

"A great showcase of democracy indeed--We wish Tanzanians all the best," says Prof. Muhiddin, a political scientist
 
Kabila la Wasukuma sio tuu ndilo kabila kubwa kuliko yote Tanzania, bali Wasukuma ndio watu wanaoongoza kwa upendo Tanzania, wanaume wa Kisukuma ndo wanaongoza kwa kupenda, viongozi wa Kisukuma ndio wanaoongoza kwa kupiga kazi au kuchapa kazi, Wasukuma ndilo kabila linaloongoza kwa ukarimu, ndio maana hapa wamempa uchifu JJ. Mnyika, na sio tuu kwasabubu ni Msukuma, bali Wasukuma ni wakarimu tuu, shuhudia hapa hata Shaggy alipewa uchifu wa Wasukuma, pia kiukweli shuhudia mabinti wa Kisukuma hapo walivyo wazuri, hapa tunazungumzia uzuri na sio urembo!, mabinti wamevaa kaniki na bado wanavutia!, jee wangeongeza na urembo hapo?.



P.
 
Huu uzi unazungumzia Mnyika kusimikwa uchifu wa kisukuma.
Kama unataka habari za Shegy anzisha uzi unao mhusu huyo Shegy wako
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pascal samahani Braza, hapa umeamua kupotosha makusudically kabisa, SHAGGY Hakupewa uchifu na wasukuma ila alichopewa ni ukaribisho kwenye kabila la Wasukuma.Aliyepewa uchifu ni MNYIKA JOHN.
 
Huyu chifu malonja na siku sijamsikia au kesharogwa hawa wasukuma mda mwingine sio watu wazuri,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…