Mnyika apewa Uchifu Mwanza na kupewa jina la Chief Malonja, ataka marekebisho ya Katiba

Kwa hiyo wasukuma sasa wanatawaliwa na machifu wawili? chifu mnyika na chifu mbowe?

ona hapa mbowe akikabidhiwa uchifu wa kabila la wasukuma

 
Hii habari itamyima raha jiwe,
 
Eti Mnyika anaitwa mchaga leo hivi ukiwa karibu na Mbowe ndio unakuwa mchaga?

Kupandikiza ukabila ni kufirisika kihoja.

Siasa za Tanzania bhana kuna mchaga anaitwa Mnyika?

Tena hao mazoba sio hata wa kuwaambia kuwa Mnyika ni msukuma wala nini, maana wanataka kuleta siasa za kipuuzi. Mimi huwa nawaambia kuwa sio kuwa ni mchanga tu, kuanzia mama yake, baba, mke mpaka na marafiki zake ni wachaga, ili wapate nafasi nzuri ya kufanya siasa majitaka.

Huu mchezo wa kuogopa hiyo kete yao ya kikabila ndio cdm waliingizwa mkenge wakamchagua Mashinji, matokeo yake akaishia kuwa domo zege. Hiyo kete yao wala watu wasiogope maana wananchi sasa hivi wanajitambua, na yule anayetaka kuinyima cdm kura kisa inasemekana Mnyika ni mchaga aiinyime tu.
 
Hili jukwaa ni la siasa wala siyo la historia ukitaka historia kuna jukwaa lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazombie ya kutumia kete ya ukabila na udini yamebakia lumumba
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…