Safi sana angeniita nigonge Dua Jiwe apendwe zaidi hapohapo.
Binafsi sifurahishwi na madai tu ya mdomo kwani wanasheria katika vyama hawapo si waliweke katika kisheria wafungue kesi mahakamani ambako haki inapatikana then kuyaleta na kwa umma pia.
Haya madai ya mdomo tu hayajawahi kuwa na nguvu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan tabu tupu
Hakika Magufuli ni next level ! yaani anajua kuwachezesha wanasiasa kwata, na kuelekea uchaguzi wa Mwaka 2020 tofauti na ilivyozoeleka wanasiasa kuhama vyama safari hii wanasiasa wanahama makabila ili wapate ahuweni , Bahati nzuri wasukuma ni watu wakarimu sana tuko tayari kuwapokea wote wanotaka kuhama kutoka kwenye makabila yao na kuwa wasukuma karibuni sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baaa,we mwana wee! Mboni kuntafutia bani kwa lazimaa!asubutu hunipati weee..!
Baaa,we mwana wee! Mboni kuntafutia bani kwa lazimaa!asubutu hunipati weee..!
Wasukuma hawana urafiki na wachaga Mnyika aache kujikomba komba kwa wasukuma
Hakuna kitu kinaniudhi kama kila hoja mnahisisha na ukabila/ukanda/. Jadilini hoja na siyo watu. Taifa ni la Watz na siyo la kabila fulani. Madhara yake mmeshayaona hasa kwenye nyanja ya ajira.Hongereni chadema, wametoa msukuma, ameingia msukuma.hongereni.
Chadema mnatumia nguvu kubwa sana kupambana na Dk Mashinji.
Sisi yetu macho ila mlipeni pesa yake yote!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu kinaniudhi kama kila hoja mnahisisha na ukabila/ukanda/. Jadilini hoja na siyo watu. Taifa ni la Watz na siyo la kabila fulani. Madhara yake mmeshayaona hasa kwenye nyanja ya ajira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana hadhi ya kuwa Mwami huyu! Hata Omutwale hana hadhi! Ogu Mwiru!!
Poleni sana wana lumumba na huo ndiyo mwanzo tu lazima mtakosa pa kupatia kitumbua chenu maana cdm ndiyo inazidi kupaaaMnyika kaisha feli kabla ya kuanza, huwa hatufanyi advocacy and lobbying kijinga hivi..!
Hapa panahitajika shule na akili kubwa ya kustrategy mambo, na si kuwa mwanaharakati ukisikia political science ndiyo wawatumie wakina prof. Baregu
Sent using Jamii Forums mobile app