Magufuli sio msukuma, eleweni hilo.Inamaana Mh Magufuli (Msukuma) anatakiwa amheshimu Mnyika kama "CHIFU" wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli sio msukuma, eleweni hilo.Inamaana Mh Magufuli (Msukuma) anatakiwa amheshimu Mnyika kama "CHIFU" wake.
Hahaha muuza chips wa maombi...Kumbe huyu sio mkristo wa mwislam basi sawa
Ila nakumbuka kuna picha ya kiongozi wa chadema miaka ya nyuma ilionyesha akiwa kwenye mambo kama haya
Tuache mazingaombe ya kukusanya watu na kuwapa maelekezo
Kama ilivyo tokea kwa muuza chips wa maombi
Naona chadema wanafuata nyayo za maigizo ya ccm
Taarifa kutoka IKULU itawajia ili kuzima uchifu wa katibu MKUU wa CHADEMA, atatumbuliwa mtu au mtukufu Rais dokta wa wanyonge atazindua vyoo vya shule. Go Go JJ MNYIKA.
[emoji1479][emoji1479][emoji1479][emoji1491][emoji1491][emoji1491]
Kwani Mnyika ni kabila gani mkuu?Wasukuma hawana urafiki na wachaga Mnyika aache kujikomba komba kwa wasukuma
Wasukuma watu wa amani na upendo kwa watu wote.Wasukuma hawana urafiki na wachaga Mnyika aache kujikomba komba kwa wasukuma
Mh??? Sasa ivi waliompa uchifu utaskia wamepewa kesi ya uraia au wakatekwa au wakapotezwa kabisa kuwatisha wengine wasitoe uchifu kwa CDM
Haya tumeanza kama ivo njooni unyanyembe huku tutawapa uchifu na kikosi cha waluluga tutawakabidhi
Mwaka huu lazima kieleweke!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasukuma watu wa amani na upendo kwa watu wote.
Acha kutupakazia kwa propaganda.
Sent using Jamii Forums mobile app