Mnyika apewa Uchifu Mwanza na kupewa jina la Chief Malonja, ataka marekebisho ya Katiba

Mnyika apewa Uchifu Mwanza na kupewa jina la Chief Malonja, ataka marekebisho ya Katiba

Kweli siasa raha sana, nilimis sana hivi vichekesho, nakuona nyuma ya kibodi unavyoandika huku ukivunja mbavu, haya bhana..hahaha
Chief... MALONJA...
Screenshot_20191229-151647.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chifu Malonja John John Michael Masalu Dalahi Mnyika

Chifu Malonja apewa kiti cha kuonyesha mamlaka alichowahi kukikalia Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kabla ya safari ya kwenda UNO UN Umoja wa Mataifa New York kwenda kushawishi kuwa Tanganyika ipo tayari kupata uhuru wake.

 
Habari ndiyo hiyo sasa wasukuma wanao jitambua washa mpata chief MALONJA wewe kalaghabao na njaa zako
Hahaha..sio wote, Mashinji kwao Misungwi tunafahamu na ni Msukuma, huyo chief wenu wa matambiko na uchawi mtafutieni kabila kama mmemnyang'anya la asili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Mtu yeyote kabila ingine asiye mchaga ambaye amewahi kupewa u mangi na wazee wa kichaga na kumsimika Kama mangi wa wachaga wakati sio mchaga?
 
Kumbe huyu sio mkristo wa mwislam basi sawa


Ila nakumbuka kuna picha ya kiongozi wa chadema miaka ya nyuma ilionyesha akiwa kwenye mambo kama haya

Tuache mazingaombe ya kukusanya watu na kuwapa maelekezo



Kama ilivyo tokea kwa muuza chips wa maombi


Naona chadema wanafuata nyayo za maigizo ya ccm
 
Back
Top Bottom