Mnyika: Bado Ofisi ya Msajili inatafuta njia Shughuli za CHADEMA zisimamishwe, tumeandikiwa barua tujieleze

Mnyika: Bado Ofisi ya Msajili inatafuta njia Shughuli za CHADEMA zisimamishwe, tumeandikiwa barua tujieleze

Nilishasema na ninarudia tena kuwa CCM ilishakoma kuwa chama cha siasa bali ni genge masilahi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimu.
 
Msajili wa vyama anapewa (amri) maelekezo na watawala hana ubavu wa kukataa lakini ajue CHADEMA ni taasisi kubwa inayoungwa mkono na wanainchi.
Huu mfumo wa kila mtu anateuliwa ndio tatizo, hao wote wanafuata mkuu anasema nn sio sheria zinasema nn
 
eeeh,
nendeni mkajieleze sasa au hamna maelezo mchukuliwe hatua zaidi za kisheria?
Screenshot_20260212-145525~2.png
 
Gentleman,
msajili ni muajiriwa mwenye dhamana ya umma, na anafanya kazi ya umma kwa kodi ya wananchi waliompatia dhamana hiyo.
huyo nii mteule wa waTanzania wote kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.
Mutungi ni
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
eeeh,
nendeni mkajieleze sasa au hamna maelezo mchukuliwe hatua zaidi za kisheria?
Msajili wa vyama vya siasa nae anateuliwa na Raisi,hakuna tofauti na tume ya uchaguzi na ile ya jaji Chande......
Elimu ya darasa la saba inatosha sana....
 
Nilisema kuhusu hili hapa siku si nyingi:

Hili liko wazi kabisa; CHADEMA hawawezi kuendelea na hii mikutano, hata kama hakuna maswala yoyote ya uchochezi wanayoyazungumzia kwenye mikutano hiyo, ni lazima watatafutiwa tu njia ya kuwazuia.

Mhalifu hawezi kuruhusu aliyemfanyia dhulma apewe nafasi ya kueleza maovu ya anayedhulumu waTanzania.

Siku hizi chache wanatumia tu njia ya kuwadhibiti CHADEMA, pengine moja kwa moja.
 
Huyo msajili ni kada wa CCM , mimi huwa namtaja kama msajili wa CCM.

Hatofanikiwa hicho chama kilishavuka hatua za kutishwa na vidampa wa mwenyekiti wa CCM , kimefungiwa miezi 10 ila bado nguvu ndio imeibuka upya.
 
Msajili wa vyama vya siasa nae anateuliwa na Raisi,hakuna tofauti na tume ya uchaguzi na ile ya jaji Chande......
Elimu ya darasa la saba inatosha sana....
mamlaka na idara zote za serikali na wananchi wanao zisimamia ni mali ya umma,
wanao teua na wanaoteuliwa wote ni sharti wawe wananchi waTanzania, na wanasimamia ofisi hizo za umma kwa niaba ya umma wa waTanzania wote.

ni muhimu zaidi kua na fikra na uelewa huu gentleman
 
Back
Top Bottom