johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa....... Kwani afande Muroto bado yupo?!Karibuni sana Mitaani,
Wamekusikia bwashee!Wananchi tupo ila nyie viongozi muwe mstari wa mbele sisi wananchi tuwe nyuma yenu
Wananchi tupo ila nyie viongozi muwe mstari wa mbele sisi wananchi tuwe nyuma yenu
Hawa watu wanajaribu kupimana ubavu na rais,kuwa fair kwa vyama vya kihuni huni Kama chadema ni kuliangamiza taifa,
Rais Hana budi kubadili mikakati ya kudili na vyama vya kihuni huni Kama hivi ili kuliepusha taifa kuingia kwenye machafuko.
Walikuwa wapi kudai katiba enzi za JPM,why now ,je wamemuona rais ni mtu dhaifu kwao hivyo ni muda muafaka wa kuanzisha chokochoko?
Chadema nawahakikishia kile mnachokitafuta hakika mutakipata muda si mrefu,wait and see.
Sawa nenda ukaandamane uvunjwe mguu huku viongozi wa chadema hawana muda na wewe.Uko sahihi sana, hata wakati wa vita vya Uganda wananchi walikuwa tayari, je Nyerere alikuwa mstari wa mbele huko vitani? Hawa askari wote wanaokwenda kulinda amani sehemu zenye vita, viongozi wanaosaini hiyo mikataba na wao huwa wanaenda huko kwenye vita wao na familia zao? Kwenye mechi za soka huwa kunakuwa na kocha, je huwa naye anaingia uwanjani kucheza?
Hizi lugha za kijinga ndio hutengenezea uhalali wa viongozi kusigina haki na maslahi ya watu. Ndio maana unaona viongozi wanaoishi hapa Dar wanatembelea maVX ya 400m+, huku wao wakiwa na maji safi ya kuflash mpaka vinyesi, wakati huko vijijini watu wakosa hata kisima cha maji cha 50m tu. Na mleta post unaona umepost kitu cha maana kwelikweli.
Yaani kuwa na katiba mpya kwako ni kuliangamiza taifa au ulikiwa unaana kuiangamiza ccm ila umekosea tu!!Hawa watu wanajaribu kupimana ubavu na rais,kuwa fair kwa vyama vya kihuni huni Kama chadema ni kuliangamiza taifa,
Rais Hana budi kubadili mikakati ya kudili na vyama vya kihuni huni Kama hivi ili kuliepusha taifa kuingia kwenye machafuko.
Walikuwa wapi kudai katiba enzi za JPM,why now ,je wamemuona rais ni mtu dhaifu kwao hivyo ni muda muafaka wa kuanzisha chokochoko?
Chadema nawahakikishia kile mnachokitafuta hakika mutakipata muda si mrefu,wait and see.
Kuna tofauti kati ya kuingia mtaani na kuingia msituni.Wala hamjamuelewa Mnyika. Kuingia mitaani hakuna maana kuleta vurugu Wala kuandamana. Maana yake Ni kuanza kuwaeleza wananchi au kuwa ndo agenda yao huko mitaani.
Mifano haiendani bwashee..Uko sahihi sana, hata wakati wa vita vya Uganda wananchi walikuwa tayari, je Nyerere alikuwa mstari wa mbele huko vitani? Hawa askari wote wanaokwenda kulinda amani sehemu zenye vita, viongozi wanaosaini hiyo mikataba na wao huwa wanaenda huko kwenye vita wao na familia zao? Kwenye mechi za soka huwa kunakuwa na kocha, je huwa naye anaingia uwanjani kucheza?
Hizi lugha za kijinga ndio hutengenezea uhalali wa viongozi kusigina haki na maslahi ya watu. Ndio maana unaona viongozi wanaoishi hapa Dar wanatembelea maVX ya 400m+, huku wao wakiwa na maji safi ya kuflash mpaka vinyesi, wakati huko vijijini watu wakosa hata kisima cha maji cha 50m tu. Na mleta post unaona umepost kitu cha maana kwelikweli.
Hahahaaaa....... Kama Cuf!Chama cha siasa kikishindwa uchaguzi mara 3 kinageuka kuwa cha kigaidi..
Ndiko hii saccos chadema inakoelekea
Tunawakaribisha mtaani Boss leo kesho wao tu.Wala hamjamuelewa Mnyika. Kuingia mitaani hakuna maana kuleta vurugu Wala kuandamana. Maana yake Ni kuanza kuwaeleza wananchi au kuwa ndo agenda yao huko mitaani.