Bila kumsahau J.K NyerereKatika miaka yeyote ya CCM ni kiumbe mmoja tu ambae alikuwa na uthubutu pamoja na uwezo wa kufanya midahalo.
Ni Marehemu Benjamin William Mkapa.
Chama chetu kinajijua nashauri kimtume Jenista Mhagama akiwa bado wa moto toka BrazavilleKatibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika amemtaka Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi kushiriki yeye mwenyewe kwenye Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama Vya Siasa UDSM Leo
Mnyika amesema kama Dr Nchimbi ataingia mitini basi Mdahalo huo utakuwa ni wa Makatibu Wakuu wa Vyama Vya Upinzani kitu kitakachokuwa hakina Tija kwani ushiriki wa CCM ni muhimu sana
John Mnyika ameandika Ukurasani X
View attachment 3083470
Soma Pia: Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa tarehe 31/08/2024 Maktaba ya UDSM. Dr Nchimbi, J J Mnyika, Ado Shaibu na wengine Watashiriki
hivi kweli mtu mzima mwenye heshima zake kama Dr.Emmanuel Nchimbi aache majukumu muhimu ya msingi ya chama chake, kitaifa na kimataifa eti anaalikwa tena kwa msisitizo kabisa na shadow SG wa chama amabacho hakina hata uelekeo, kweli?Bado hamjaacha kukimbia midahalo
Hebu wakuteue wewe uwe unawaqkilisha kwenye hiyo midahalo
Ova
Kumbe wewe hujui Siasa ππhivi kweli mtu mzima mwenye heshima zake kama Dr.Emmanuel Nchimbi aache majukumu muhimu ya msingi ya chama chake, kitaifa na kimataifa eti anaalikwa tena kwa msisitizo kabisa na shadow SG wa chama amabacho hakina hata uelekeo, kweli?
ndio kiwango cha mzaha kimefikia hapa ndrugu zangu?
eti Dr. akajadiliane na wale watrotro dah
wakajadili nini kwanza?
mimi na Raila Odonga ni wabobevu wenye mitazamo sawa ya kisiasa hususan kuhusu midahalo mfu kama huo unao pigiwa chapuo na shadow SG wa chademaKumbe wewe hujui Siasa ππ
Mbele ya baba Mtakatifu Papa Francisco anayeketi kitini pake Mtume Petro huyo Mnyika na Nchimbi wote ni Sawa na walikuwa Vatican juzikati πΉπΉmimi na Raila Odonga ni wabobevu wenye mitazamo sawa ya kisiasa hususan kuhusu midahalo mfu kama huo unao pigiwa chapuo na shadow SG wa chadema
Mmatengo, na ajitokezee tyuuhBwana mngoni itabidi tu ajitokeze kwenye mdahalo hakuna namna
Nchimbi ni Mnyanja kama Stella Manyanya, Komba na Kambona πMmatengo, na ajitokezee tyuuh
Nchimbi ni mnyasaa? Najuaga ni mmatengoo. LolNchimbi ni Mnyanja kama Stella Manyanya, Komba na Kambona [emoji1]
Hajuwi kabisa....bado sanaKumbe wewe hujui Siasa ππ
CCM waoga sana wa midahalo wao siasa zao ni za kubebwa na mitutu ya bunduki za polisiccm tu.
Tena Balozi, mtu ambaye ungedhani alisha ona mengi ya duniani huko aliko tumika!Only in Tz, PhD unakimbia mdahalo
Huyo hakuna kitu juzi usiku nilikuwa nambana kwa hoja mpaka akawa ananitisha eti Yeye ni Kiongozi mkubwa wa SerikaliKumbe wewe hujui Siasa ππ