Mnyika: Dr Nchimbi ni vema ukathibitisha Kwa uwazi utashiriki na si kutuma mwakilishi kwenye Mdahalo wa Makatibu Wakuu Leo!

Mnyika: Dr Nchimbi ni vema ukathibitisha Kwa uwazi utashiriki na si kutuma mwakilishi kwenye Mdahalo wa Makatibu Wakuu Leo!

Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika amemtaka Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi kushiriki yeye mwenyewe kwenye Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama Vya Siasa UDSM Leo

Mnyika amesema kama Dr Nchimbi ataingia mitini basi Mdahalo huo utakuwa ni wa Makatibu Wakuu wa Vyama Vya Upinzani kitu kitakachokuwa hakina Tija kwani ushiriki wa CCM ni muhimu sana

John Mnyika ameandika Ukurasani X

View attachment 3083470

Soma Pia: Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa tarehe 31/08/2024 Maktaba ya UDSM. Dr Nchimbi, J J Mnyika, Ado Shaibu na wengine Watashiriki
Chama chetu kinajijua nashauri kimtume Jenista Mhagama akiwa bado wa moto toka Brazaville
 
Bado hamjaacha kukimbia midahalo
Hebu wakuteue wewe uwe unawaqkilisha kwenye hiyo midahalo

Ova
hivi kweli mtu mzima mwenye heshima zake kama Dr.Emmanuel Nchimbi aache majukumu muhimu ya msingi ya chama chake, kitaifa na kimataifa eti anaalikwa tena kwa msisitizo kabisa na shadow SG wa chama amabacho hakina hata uelekeo, kweli?

ndio kiwango cha mzaha kimefikia hapa ndrugu zangu?

eti Dr. akajadiliane na wale watrotro dah :pedroP:
wakajadili nini kwanza?:pedroP:
 
Kumbe wewe hujui Siasa 😂😂
 
mimi na Raila Odonga ni wabobevu wenye mitazamo sawa ya kisiasa hususan kuhusu midahalo mfu kama huo unao pigiwa chapuo na shadow SG wa chadema :pedroP:
Mbele ya baba Mtakatifu Papa Francisco anayeketi kitini pake Mtume Petro huyo Mnyika na Nchimbi wote ni Sawa na walikuwa Vatican juzikati 🌹🌹
 
Nchimbi asipotokea si ndiyo itakuwa vizuri kwao wanapata muda wa kujinafasi na kumwaga sera bila kubugudhiwa na ccm.
Au wanataka kutumia mdahalo na uwepo wa ccm kama jukwaa la kujitangaza ?!
 
Inawezekana kikao hakina umuhimu ndo maana kapeleka muwakilishi
 
Mnyika Nae asiende kwene hiko kipindi atume mwakilishi manake kadharau kama kawaida yao ccm waoga hatari.
 
Only in Tz, PhD unakimbia mdahalo
Tena Balozi, mtu ambaye ungedhani alisha ona mengi ya duniani huko aliko tumika!
Na si hivyo tu, huyu si alisha wahi kuwa waziri/naibu waziri na mbunge au sio?

Pia nadhani Katibu Mkuu wa Vijana wa CCM?

Uzoefu wote huo, huyu sasa angekuwa ni kama Profesa kabisa katika eneo hilo la siasa; lakini siyo chini ya hii CCM ambayo kazi yake kuu ni kulemaza watu kiakili.

Kama huamini, nikupe mfano mwingine: Neppy Nnauye.
 
Back
Top Bottom