Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Kumbe anajua rais wetu anahekima
Haya sasa waje meza moja tukae
USSR
Kama ni kweli mnyika katumia neno hekima basi ni mpumbavu moja kwa moja.John Mnyika ametoa wito kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kutumia hekima na utaratibu uliotumika kufuta kesi ya ugaidi iliyokuwa inamkabili aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe utumike kwa Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho Tundu Lissu ambaye anashtakiwa kwa uhaini.
Mnyika amesema hayo leo Agosti 3, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam huku akitoa wito kwa wananchi kwenda kuhudhuria kesi ya Lissu itakayoendelea Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam kuanzia Agosti 10 mwaka huu.
Rais illegitimateKumbe anajua rais wetu anahekima
Haya sasa waje meza moja tukae
USSR
Mnyika katoa maneno ya kisiasa kwa hio hakuna shidaSIjawaigi kumkubali uyo mnyika yuko nyoronyoro sana
Wewe mama sisi tulipiga kura wakati wewe na wakora wenzako mnachoma moto miundombinu na ofisi za umma na kuuuwa watu.Rais au mwenyekiti wa CCM?
Nani alimchagua huyo kuwa rais?
Mnyika anajua lisu nalialia sana ila akija kwa media anajinya mjanjaMnyika naona kama
Kachanganyikiwa Lissu hataki huruma ya mtu Kama ana makosa basi anyongwe kama hana makosa anatakiwa kuachiliwa huru bila masharti yoyote
Wewe mama sisi tulipiga kura wakati wewe na wakora wenzako mnachoma moto miundombinu na ofisi za umma na kuuuwa watu.
Tulimchagua na tunamlinda hofu kubw
USSR
nyeMnyika anajua lisu nalialia sana ila akija kwa media anajinya mjanja
USSR
Ulimchagua na basha lako abdul?Wewe mama sisi tulipiga kura wakati wewe na wakora wenzako mnachoma moto miundombinu na ofisi za umma na kuuuwa watu.
Tulimchagua na tunamlinda hofu kubw
USSR
Aisee walioko nje wanaona Huruma kuliko aliyeko ndani. All in all hizi nin common wealth effects na zinafanya kazi kwa namba ya kupunguza aibu kwa mamlaka. Ionekane Msukuma umetoka ndani na sio EU, US wala Common wealthMnyika naona kama
Kachanganyikiwa Lissu hataki huruma ya mtu Kama ana makosa basi anyongwe kama hana makosa anatakiwa kuachiliwa huru bila masharti yoyote