Mnyika: Hekima iliyotumika kufuta kesi ya Mbowe, itumike kwa Lissu

Mnyika: Hekima iliyotumika kufuta kesi ya Mbowe, itumike kwa Lissu

Siungani na Mnyika katika hili, hakuna suala la hekima hapo Lissu kesi yake inatakiwa kufutwa kwa kukosa mantiki ya kuitwa kesi ya uhaini bali ni ubambikwaji wa kesi feki kwa kufuata maelekezo kutoka kwa mwenyekiti wa CCM.

Mambo ya hekima hapo hayana nafasi , ingetokea waliopeleka mashtaka hayo katika nchi zenye mahakama imara ingetupiliwa mbali tangu siku ya kwanza.
💯%.

Hakuna hekima yoyote ile katika kufuta kesi feki.
 
Kinachotakiwa ni Mahakama ilimalize hili suala na kutoa hukumu ya kumuachia Lissu baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibisha uhaini wa Lissu. Hii itamsafisha Tundu Lissu na tuhuma hizo na pia Lissu atakuwa kwenye nafasi nzuri ya kudai fidia kwa madhara aliyopata ya kuwekwa gerezani kwa kosa la kubuni tu. Na pia Mahakama itajijengea heshima yake iliyoporomoka kutokana na kesi hii. Kesi iko mahakamani iishie mahakamani na isionekane ni huruma ya muuaji Samia.

Endelea kuota Lissu kuja kushinda kesi ili kudai fidia 🤠🤠
Kwani Mzee mbowe hakukaa Lupango JE alidai fidia Serikali 👈

Maana ya maridhiano moja ya msingi wake kukutoa kwenye msingi wa kuja kudai fidia 👈

lau ww kidume Endelea kukaa Lupango uje ufie Lupango lkn Lupango kunamagonjwa mengi sio kuzuri kiivyo

Mzee mbowe ni mwenye
akili sana🤠🤠
 
Nyinyi wa kambi ya Heche mnataka Lissu aendelee kusota jela huku Heche akineemeka kwa mahela ya Tonetone na kujijenga kibinafsi kwenye during za siasa za upinzani.

#Say No kwa kauli zote zinzochelewesha Lissu kuachiwa
Jizi na lipenda rushwa limepost
 
Nyinyi wa kambi ya Heche mnataka Lissu aendelee kusota jela huku Heche akineemeka kwa mahela ya Tonetone na kujijenga kibinafsi kwenye during za siasa za upinzani.

#Say No kwa kauli zote zinzochelewesha Lissu kuachiwa
Lisu anaachiwa kisheria baada ya kushinda kesi, si kwa post za huku kwenye social media. Kama mahakama inafanya kazi kwa kufuata post za huku kwenye social media, basi zitakuwa ni mahakama za kipuuzi kuliko nilivyodhania.
 
Forget about that, muacheni Lissu arudi uraiani kwa njia yeyote ila kushinda kesi sahau.

DPP anaweza kusitisha kesi ya jinai kabla ya hukumu kwa nolle prosequi. Mshtakiwa huachiwa, lakini anaweza kushtakiwa tena kwa msingi wa ukweli uleule ikiwa ushahidi mpya wa kutosha utapatikana
Hakuna mtu anaogopa hata muokoteze ushahidi mpya, tena kwa hao mawakili vilaza wa Jamuhuri ni kujipigia tu.
 
View attachment 3642412

Haya maneno sijawahi kuyasikia toka kwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, lakini Katibu Mkuu John Mnyika ameongea kwa nidhamu kabisa.

Huyu ndiye kiongozi sasa na ishara ya maridhiano naiona
Serikali ya CCM is full of mentally challenged Neanderthals! Hakuna mtu wa kawaida anayeweza kusema anataka maridhiano na wakati huohuo akaendelea kufanya mambo yaleyale yaliyoleta mpasuko kwenye jamii in the first place.
 
Hata kama siyo mhaini ile kauli yake ya kukinukisha ilikuwa haiko calculated, na amepata mshahara wake
Alitakiwa aseme watu washiriki uchaguzi wa kihuni kama wajinga, ili asibambikiwe kesi?
 
John Mnyika ametoa wito kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kutumia hekima na utaratibu uliotumika kufuta kesi ya ugaidi iliyokuwa inamkabili aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe utumike kwa Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho Tundu Lissu ambaye anashtakiwa kwa uhaini.

Mnyika amesema hayo leo Agosti 3, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam huku akitoa wito kwa wananchi kwenda kuhudhuria kesi ya Lissu itakayoendelea Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam kuanzia Agosti 10 mwaka huu.
nonsense 🐒
 
Forget about that, muacheni Lissu arudi uraiani kwa njia yeyote ila kushinda kesi sahau.

DPP anaweza kusitisha kesi ya jinai kabla ya hukumu kwa nolle prosequi. Mshtakiwa huachiwa, lakini anaweza kushtakiwa tena kwa msingi wa ukweli uleule ikiwa ushahidi mpya wa kutosha utapatikana
Kwa hiyo hawa wapuuzi wanataka Lissu agome kutoka rumande DPP akisema hana mpango wa kuendelea na kesi ( nolle prosequi)! Aseme sitoki mpaka Mahakama itakapotoa hukumu kwenye kesi ambayo haipo Mahakamani! Na wanaamini Magereza itaendelea kumhifadhi rumande. Hawa ni wajinga au wana nia mbaya na Lissu!

Wanadhani DPP anahitaji kibali cha mshitakiwa ( Lissu, Mbowe n.k.) au Mahakama kabla ya kutangaza nolle prosequi!

Hawa ndio wanajibhalagua kuwa ndio vichwa vya Chadema.

Amandla...
 
Forget about that, muacheni Lissu arudi uraiani kwa njia yeyote ila kushinda kesi sahau.

DPP anaweza kusitisha kesi ya jinai kabla ya hukumu kwa nolle prosequi. Mshtakiwa huachiwa, lakini anaweza kushtakiwa tena kwa msingi wa ukweli uleule ikiwa ushahidi mpya wa kutosha utapatikana
It takes a very smart prosecutor to win a manufactured criminal case against a high-profile defendant.

Katuga na mazafakas wenzake hawana ujanja wa kushinda hii case hata wakirudi mahakamani a thousand times!
 
Lissu yeye mwenyewe aliwahi kusema hataki huruma ya mtu kabisa akikutwa na Makosa anyongwe
Stupid as stupid does. Nolle prosecute sio huruma. Kuna sababu nyingi zinazoweza kumfanya atumie nolle prosequi. Mojawapo ni anapoona kuwa hana ushahidi wa kutosha au kesi yake haina mashiko.

Unasema Lissu amesema kuwa akipatikana na hatia anyongwe? Hizo ni bluster tu. Hivi atamlazimisha Rais kusaini hati ya kunyongwa kama ataamua kutoisaini?

Au atakataa punguzo lolote la adhabu kama Rais ataona anastahili? Anajua hii ni kesi ya kisiasa na hawezi kunyongwa hata kupatikana na hatia.

Amandla...
 
It takes a very smart prosecutor to win a manufactured criminal case against a high-profile defendant.

Katuga na mazafakas wenzake hawana ujanja wa kushinda hii case hata wakirudi mahakamani a thousand times!
Hamna haja ya " smart prosecutor". Kinachotakiwa ni hakimu au jaji aliyekuwa compromised. Mbele ya hakimu/ Jaji kama huyo Lissu atashindwa tu kama walivyoshindwa wakina Sugu na Mbowe hata kama prosecutor ni mweupe na wakili wa utetezi ni super smart. Ndio maana kudai lazima kesi isikilizwe ni kuwa foolhardy tu.

Amandla...
 
Back
Top Bottom