Mnyika: Hekima iliyotumika kufuta kesi ya Mbowe, itumike kwa Lissu

Mnyika: Hekima iliyotumika kufuta kesi ya Mbowe, itumike kwa Lissu

Kesi iko mahakamani kinachotakiwa ni Mahakama itemize wajibu wake kuitoa hukumu kwa kumuachia huru Tundu Lissu baada ya upande wa mashitaka kushindwa kuleta ushahidi wa kuweza kumtia hatiani. Hukumu hiyo itamsafisha Lissu na pia kumpa nafasi ya kuweza kudai fidia kwa madhara aliyopata kwa kuwekwa gerezani kwa mashitaka hewa. Hii mambo ya kuachiana gizani kama ilivyokuwa kwq Mbowe siyo sahihi hata kidogo.Kwenye kesi ya Mbowe Mahakama ilimtia hatiani Mbowe hivyo upande wa mashitaka kuiondoa kesi Mahakamani ni kama fadhila kwa Mbowe na serikali inaweza kum-blackmail kwa kipengele hicho.

..TL ameshinda haijalishi atatoka kwa mtindo upi.

..kila aliyefuatilia kesi anajua kwamba utetezi wa TL ndio uliokuwa na mashiko.
 
John Mnyika ametoa wito kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kutumia hekima na utaratibu uliotumika kufuta kesi ya ugaidi iliyokuwa inamkabili aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe utumike kwa Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho Tundu Lissu ambaye anashtakiwa kwa uhaini.

Mnyika amesema hayo leo Agosti 3, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam huku akitoa wito kwa wananchi kwenda kuhudhuria kesi ya Lissu itakayoendelea Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam kuanzia Agosti 10 mwaka huu.
Mnyika, Mnyika.
Usianze kukengeuka wakati huu hatari sana.

Unahimiza kitu gani hapa?

Mbowe kutolewa jela ni kwa sababu alikubali masharti ya mazungumzo ya kipuuzi.

Sasa unataka kuwaambia waTanzania Tundu Lissu na yeye apitienjia ya kipumbavu namna hiyo?

Unachopaswa kuhimiza hapa ni hiyo kesi isizidi kucheleweshwa na hukumu itolewe kufuatana na ushahidi uliopo

Msukumo wa wewe kuyasema haya wakati huu ni nini? Hili ndilo swali unalotakiwa ujihoji kwa uangalifu mkubwa.

Sijawahi kukuwekea mashaka yoyote; lakini hili linatia kinyaa kama ulivyoliwasilisha hapa.
 
..TL ameshinda haijalishi atatoka kwa mtindo upi
Mfano aliotumia Mnyika hapo kuwasilisha hoja ya Tundu Lissu kuachiwa ni mfano mbaya kabisa unaotia mashaka makubwa.

Tundu Lissu akiachiwa kwa mtindo huo wa Mbowe, atakuwa "hakushinda" chochote.
It will be a disgrace.
 
Hamna haja ya " smart prosecutor". Kinachotakiwa ni hakimu au jaji aliyekuwa compromised. Mbele ya hakimu/ Jaji kama huyo Lissu atashindwa tu kama walivyoshindwa wakina Sugu na Mbowe hata kama prosecutor ni mweupe na wakili wa utetezi ni super smart. Ndio maana kudai lazima kesi isikilizwe ni kuwa foolhardy tu.

Amandla...
Zipo aina ya kesi ambazo a compromised judge is an easy route. This isn’t one of them. The reputational risk here is just too high!
 
Mfano aliotumia Mnyika hapo kuwasilisha hoja ya Tundu Lissu kuachiwa ni mfano mbaya kabisa unaotia mashaka makubwa.

Tundu Lissu akiachiwa kwa mtindo huo wa Mbowe, atakuwa "hakushinda" chochote.
It will be a disgrace.

..disgrace kwa nani?

..mbona TL kaishawabwaga kwa utetezi wake?

..hakuna kesi pale na TL ameonyesha ktk kila hatua.

..how can TL be disgraced baada ya umahiri na ushupavu wote ule mahakamani?
 
Siungani na Mnyika katika hili, hakuna suala la hekima hapo Lissu kesi yake inatakiwa kufutwa kwa kukosa mantiki ya kuitwa kesi ya uhaini bali ni ubambikwaji wa kesi feki kwa kufuata maelekezo kutoka kwa mwenyekiti wa CCM.

Mambo ya hekima hapo hayana nafasi , ingetokea waliopeleka mashtaka hayo katika nchi zenye mahakama imara ingetupiliwa mbali tangu siku ya kwanza.
Sijui Mnyika leo imekuwaje, maana sijawahi kamwe hata siku moja kumtilia mashaka yoyote kuhusu uwezo wake na uimara wa msimamo wake.

Kwa mara ya kwanza kabisa ninakuwa na mashaka juu yake.

Ukimtazama tu, hata lugha ya mwili wake inavyoonyesha hapo kwenye video, wakati anazungumza hayo; huyu siyo Mnyika wa siku zote.

haya aliyoyazungumza hapa hayaingii akilini kabisa.
 
Hiyo kesi ifutwe tu, huu si wakati muafaka wa kuwa na kesi kama hiyo hususani mwenyekiti wa chama kikubwa cha siasa. Nchi inatazamwa vibaya na jumuiya za kimataifa na inamchora vibaya rais wake anapoenda ziarani nje ya nchi. Tungependa kuona rais wetu anatazamwa vizuri huko nje watakapoona ni rais mdemokrasia asiyependa kuwaweka ndani wapinzani/wakosoaji wake
 
kipenyo muhimu.

Haha From Maua seminary
 
Lissu akiachwa tu ...

Atakua mtu wa kuhangaika sana

atahangaika na nini? atajue yeye na ubishi wa watu wake.

Tulimwambiaa shida yake ropo sana

Eloh Eloh.
 
Endelea kuota Lissu kuja kushinda kesi ili kudai fidia 🤠🤠
Kwani Mzee mbowe hakukaa Lupango JE alidai fidia Serikali 👈

Maana ya maridhiano moja ya msingi wake kukutoa kwenye msingi wa kuja kudai fidia 👈

lau ww kidume Endelea kukaa Lupango uje ufie Lupango lkn Lupango kunamagonjwa mengi sio kuzuri kiivyo

Mzee mbowe ni mwenye
akili sana🤠🤠
Wewe kama mlivyo maccm wote huna akili. Ungesoma na kuelewa nilichoandika usingeandika huu ushuzi wako. Mbowe asingeweza kudai fidia kwa sababu alishatiwa hatiani then DPP akaondoa kesi mahakamani, lakini Lissu akendelea na kesi na Mahakama ikatenda haki kumuachia huru kwa sababu ya upande wa mashitaka kushindwa kuleta ushahidi wa kumtia hatiani hii maana yake alishitakiwa kimakosa. Jitahidi kusoma na kuelewa ndiyo ujibu hoja. Mbowe hana akili bali serikali ilim-blackmail hadi akaingia kwenye maridhiano uchwara. Mnamsifia kwa vile alishajiunga na udhalimu wenu.
 
Attachments

  • VID-20260802-WA0001.mp4
    7.2 MB
Stupid as stupid does. Nolle prosecute sio huruma. Kuna sababu nyingi zinazoweza kumfanya atumie nolle prosequi. Mojawapo ni anapoona kuwa hana ushahidi walutosha au kesi yake haina mashiko.

Unasema Lissu amesema kuwa akipatikana na hatia anyongwe? Hizo ni bluster tu. Hivi atamlazimisha Rais kusaini hati ya kunyongwa kama ataamua kutoisaini?

Au atakataa punguzo lolote la adhabu kama Rais ataona anastahili? Anajua hii ni kesi ya kisiasa na hawezi kunyongwa hata kupatikana na hatia.

Amandla...
Ila unakubali bibi abunuasi ni mjinga
 
Hiyo kesi ifutwe tu, huu si wakati muafaka wa kuwa na kesi kama hiyo hususani mwenyekiti wa chama kikubwa cha siasa. Nchi inatazamwa vibaya na jumuiya za kimataifa na inamchora vibaya rais wake anapoenda ziarani nje ya nchi. Tungependa kuona rais wetu anatazamwa vizuri huko nje watakapoona ni rais mdemokrasia asiyependa kuwaweka ndani wapinzani/wakosoaji wake
Huyo ni "Rais" wako wewe na wangine wa aina yako.
Kwa Tanzania huyo ni "Rais Haram". Huwezi kumwangalia haram kwa namna nyingine yoyote, bali haram.
 
Kama sio hekima, utaiita nini? Hekima ni kuendelea nayo?

Amandla...
Hekima ni kutokubambikia watu kesi za uongo.

Hekima ni kutokutumia lawfare dhidi ya wapinzani wako wa kisiasa.

Kutumia lawfare, kumfungulia mtu kesi ya uongo huku ukijua kabisa baadaye utakuja kumwachia kwa kipengele cha kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi, hiyo si hekima.

Mbowe alifungwa kwa miezi 8 kwa kesi ya kizushi kuwa eti ni gaidi.

Hata kama sikubaliani naye kisiasa, Mbowe siyo gaidi.

Alifungwa halafu baadaye akaja kuachiwa kwa kutumia hicho kipengele cha kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi.

Hapana. Kutumia lawfare ni makosa. Si hekima hata kidogo.

Sasa baadaye kuja kuwaachia watu uliowabambikia kesi, hiyo ni hekima ya wapi?

You weren’t supposed to charge them with trumped up charges in the first place.

Lissu aachiwe huru haraka. Aombwe radhi na alipwe fidia for wrongful incarceration.
 
Kwa hiyo hawa wapuuzi wanataka Lissu agome kutoka rumande DPP akisema hana mpango wa kuendelea na kesi ( nolle prosequi)! Aseme sitoki mpaka Mahakama itakapotoa hukumu kwenye kesi ambayo haipo Mahakamani! Na wanaamini Magereza itaendelea kumhifadhi rumande. Hawa ni wajinga au wana nia mbaya na Lissu!

Wanadhani DPP anahitaji kibali cha mshitakiwa ( Lissu, Mbowe n.k.) au Mahakama kabla ya kutangaza nolle prosequi!

Hawa ndio wanajibhalagua kuwa ndio vichwa vya Chadema.

Amandla...
Joyce Mukya katika moja na mbili zako
 
Zipo aina ya kesi ambazo a compromised judge is an easy route. This isn’t one of them. The reputational risk here is just too high!
Amekuambia nani majaji wote wana hofia reputation yao? There will always be those who just don't care. Or think that it would be an opportunity to return the favour of being appointed judge. Ingekuwa unavyo amini kesi ya wakina Halima isingechukua term moja kamili ya ubunge wao.

Amandla...
 
Ukisoma pamoja na kudismiss maombi ya DPP, Court of Appeal Tanzania imekataa maombi ya TAL aliyotaka kupewa fidia na kuachiliwa kwa kuelezwa kuwa Mahakama ya Rufani haina mamlaka hayo isipokuwa trial court.

Forget about fidia
Mahakama ya Rufaa ilisema haina uwezo wa kutoa fidia kwani kesi ya msingi haijaisha, maana yake Mahakama kuu ikimwachia huru kwa upande wa mashitaka kushindwa kuleta ushahidi wa kumtia hatiani anaweza kudai fidia
 
Hekima ni kutokubambikia watu kesi za uongo.
Right. Lakini kwenye kesi hii hilo limepita.
Hekima ni kutokutumia lawfare dhidi ya wapinzani wako wa kisiasa.
Right again. Lakini hii kesi haitazuia tabia hiyo kama ipo.
Kutumia lawfare, kumfungulia mtu kesi ya uongo huku ukijua kabisa baadaye utakuja kumwachia kwa kipengele cha kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi, hiyo si hekima.
Kutokuwa na hekima ni kumfungulia mtu kesi ya uongo. Hekima ni kutambua kuwa ule uamuzi ulikuwa sio wa hekima na kumwachia uliyemuonea. Hapo sioni jinsi ya kumuachia zaidi ya nolle prosequi.
Mbowe alifungwa kwa miezi 8 kwa kesi ya kizushi kuwa eti ni gaidi.

Hata kama sikubaliani naye kisiasa, Mbowe siyo gaidi.
Haswa. Nae aliachiwa hivyo hivyo.
Alifungwa halafu baadaye akaja kuachiwa kwa kutumia hicho kipengele cha kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi.
Haswa. Nadhani hata Rugemarila wa VIP Engineering aliachiwa kwa kipengele hicho hicho.
Hapana. Kutumia lawfare ni makosa. Si hekima hata kidogo.
Hakuna mtu aliyesema ni hekima.
Sasa baadaye kuja kuwaachia watu uliowabambikia kesi, hiyo ni hekima ya wapi?
Sio hekima. Kama vile ilivyo kukataa kutoka gerezani baada ya kuachiwa. Utabaki gerezani kwa msingi ndani? Kama unaona ulionewa, ishtaki serikali ukiwa nje ya gereza.
You weren’t supposed to charge them with trumped up charges in the first place.
Agreed.
Lissu aachiwe huru haraka. Aombwe radhi na alipwe fidia for wrongful incarceration.
Lissu ataachiwa. Hataombwa radhi na hatalipwa fidia. Atakachopaswa kufanya ni kuiburuza serikali Mahakamani na kudai aombwe radhi na kulipwa fidia. Akiendelea kukaa ndani uwezo wake wa kufanya hivyo ni limited.

Mnyika yuko sahihi.

Amandla...
 
Back
Top Bottom