Ndiyo. Kwa maana hiyo, hayo aliyozungumza Mnyika ndiyo 'disgrace' yenyewe hiyo.
..ushindi wa TL uko palepale.
..kum-disgrace TL inahitaji jambo lingine jipya lakini sio kesi hii.
Ndiyo. Kwa maana hiyo, hayo aliyozungumza Mnyika ndiyo 'disgrace' yenyewe hiyo.
kijana ebu tulia.
kama sio Rais unaemtambua maboss zako wanamtambua
nyie jamaa muna viburi sana, mwenzio huyo akili zimeshaanza kumuingia
Hawa chawa kwa kuwa wanatumwa wabadhani kila anayepambania demokrasia ni kama wao wanaofanya uchawa kwa ujira.Mimi sina mtu ninayemwita boss wewe mtekaji, mimi ndio boss mwenyewe.
Inawezekana wewe unanielewa vingine...ushindi wa TL uko palepale.
..kum-disgrace TL inahitaji jambo lingine jipya lakini sio kesi hii.
Sijui Mnyika leo imekuwaje, maana sijawahi kamwe hata siku moja kumtilia mashaka yoyote kuhusu uwezo wake na uimara wa msimamo wake.
Kwa mara ya kwanza kabisa ninakuwa na mashaka juu yake.
Ukimtazama tu, hata lugha ya mwili wake inavyoonyesha hapo kwenye video, wakati anazungumza hayo; huyu siyo Mnyika wa siku zote.
haya aliyoyazungumza hapa hayaingii akilini kabisa.
Hawa chawa kwa kuwa wanatumwa wabadhani kila anayepambania demokrasia ni kama wao wanaofanya uchawa kwa ujira.
View attachment 3642412
Haya maneno sijawahi kuyasikia toka kwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, lakini Katibu Mkuu John Mnyika ameongea kwa nidhamu kabisa.
Huyu ndiye kiongozi sasa na ishara ya maridhiano naiona
💯%.
Hakuna hekima yoyote ile katika kufuta kesi feki.
Yes hakuchaguliwa, lakini Samia Suluhu Hassan ndiye Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu. Anafanya na kupata stahiki zote kama walivyopata marais waliopita.Rais au mwenyekiti wa CCM?
Nani alimchagua huyo kuwa rais?
Forget about that, muacheni Lissu arudi uraiani kwa njia yeyote ila kushinda kesi sahau.
DPP anaweza kusitisha kesi ya jinai kabla ya hukumu kwa nolle prosequi. Mshtakiwa huachiwa, lakini anaweza kushtakiwa tena kwa msingi wa ukweli uleule ikiwa ushahidi mpya wa kutosha utapatikana
"HEKIMA" itoke wapi kwa mtu asiyekuwa na hekima?Naam, leo kwa hili nimekataa simuungi mkono Mnyika mambo ya hekima kwenye uonevu hayana nafasi.
Mahakama yoyote competent katika nchi inayofuata utawala wa sheria na yenye mifumo imara ya kimahakama charge sheet ya uhaini wa kubumba ya Lissu ingetupiliwa mbali tangu siku ya kwanza imepelekwa mahakamani.
Ni maajabu kuambiwa uhaini wa mtu mmoja halafu mashahidi zaidi ya 20 wote ushahidi wao ni kivideo cha YouTube kutoka Jambo TV.
Mimi sioni mantiki ya kutaka hekima itumike wakati TAL kaonewa mwezi wa 15 sasa anashikiliwa kinyume na utaratibu.
Ningemwelewa Mnyika angesema chama kitasimama imara kudai fidia ya usumbufu wa kumuweka TAL ndani baada ya kuachiwa maana hakuna hatia ya uhaini na sio kuomba mambo ya hekima.
Path ipi?Kama unadhani ni rahisi kiasi hicho, basi washauri waendelee on that path!
Yes hakuchaguliwa, lakini Samia Suluhu Hassan ndiye Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu. Anafanya na kupata stahiki zote kama walivyopata marais waliopita.
Hili ni lenu huko CCM na Serikali yenu...Kumbe anajua rais wetu anahekima
Haya sasa waje meza moja tukae
USSR
Hiyo ya kumshikilia Lissu lawlessly for as long as they want!Path ipi?
Amandla...