Mnyika: Ni miezi 5 sasa NEC hawajajibu barua yangu kuhusu walikopata majina ya Wabunge 19 na nani amesaini fomu zao

Hicho ki despatch ulichoweka ni cha CHadema cha NEC kiko wapi? alichosaini mtu wa CHadema? Mnajitekenya na kujichekesha wenyewe.Hako KA DESPATCH kenu mwaweza kuwa mumejisainia ofisini kwenu

NEC wakipokea kitu huwa wana despatch yao ya NEC iko wapi
 
MNYIKA ACHA UBABAISHAJI ITISHA MKUTANO WA BARAZA KUU UTOE MAAUMUZI MBONA UNAKWEPA?
 
Nchi ilikuwa imefikia pabaya mno - yaani hata hawa NEC nao walikuwa ni tawi la CCM... ukiona nchi inafanya mambo kama haya ya fojare kiasi hiki basi ujue huna kiongozi mkuu hapo.
 
Hicho ki despatch ulichoweka ni cha CHadema cha NEC kiko wapi? alichosaini mtu wa CHadema? Mnajitekenya na kujichekesha wenyewe.Hako KA DESPATCH kenu mwaweza kuwa mumejisainia ofisini kwenu

NEC wakipokea kitu huwa wana despatch yao ya NEC iko wapi
Hii ni awamu ya 6 ngoja tuone bwashee!
 
NEC, Ndugai na Mwendazake wameacha najisi kubwa kwa taifa...
Hili litachukua muda kufutika kwani mbegu ovu waliyoipanda na ikaanza kumea tunavuna matunda yake...
Kuna aibu inakuja...
 
Ndiyo maana Ndugai alijiwekea kinga ya kutoshitakiwa
Kutoshtakiwa baada ya kustaafu sio kwa sasa ila kwa hili CDM wameonesha udhaifu mkubwa sana kama chama. Mtu mmoja anatingisha chama kikubwa cha upinzani.
 
Kutoshtakiwa baada ya kustaafu sio kwa sasa ila kwa hili CDM wameonesha udhaifu mkubwa sana kama chama. Mtu mmoja anatingisha chama kikubwa cha upinzani.
Wafanyaje dola ipo chini ya CCM yote, mbona dikteta alitisha mpaka kwenye CCM?
 
ukihukumiwa na mahakama ukakata rufaa hutatumikia adhabu yako mpaka rufaa isikilizwe?
Chama cha siasa sio mahakama kinaenda kwa katiba yake. Taratibu zake ziko tofauti na mahakama. Wamekata rufaa baraza kuu itisheni baraza kuu. Msijilinganishe na mahakama. Nyie sio mahakama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…