Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Wewe ni mpuuzi,, mjinga, mshenzi usiye na akili wala haya! Mwendawazimu Fulani hivi mganga njaa, mbuzi poriMNyika na magenge yake waache kelele humu waeleze kikao cha baraza kuu kitafanyika lini? kumaliza hilo swala
HATUFANYIIIIIIIIIIIIII KAZI VIPEPERUSHIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII HAMUELEWI TU.Katibu mkuu wa Chadema J J Mnyika amesema ni miezi 5 imepita tangu amwandikie mkurugenzi wa uchaguzi NEC akitaka kujua ni nani alipeleka orodha ya majina ya akina Halima Mdee na wenzake na form zao zilisainiwa na nani pahala alipotakiwa kusaini Katibu mkuu.
J J Mnyika anashangazwa sana na ukimya wa NEC ambao walipokea barua yake tangu 27/11/2020
Ikumbukwe hapa tarehe 10/05/2021 Bawacha wanatimba bungeni kwenda kuwafurusha akina Halima Mdee na wenzake.
Kazi Iendelee!
Mbona tayari ni maiti tu inayotembea , asikupe shida yule ni Kenge wa kijani.kwenye Swala la COVID 19, huyu Ndugu Gai (Yule Msomi Matonya) anatukosea sana Watanzania, soon tutaanza Kumwomba Mungu Aende zake atuachie Tanzania yetu.
Hawawezi kujibu kwa kuwa Upumbavu waliufanya wao na HayatiKatibu mkuu wa Chadema J J Mnyika amesema ni miezi 5 imepita tangu amwandikie mkurugenzi wa uchaguzi NEC akitaka kujua ni nani alipeleka orodha ya majina ya akina Halima Mdee na wenzake na form zao zilisainiwa na nani pahala alipotakiwa kusaini Katibu mkuu.
J J Mnyika anashangazwa sana na ukimya wa NEC ambao walipokea barua yake tangu 27/11/2020
Ikumbukwe hapa tarehe 10/05/2021 Bawacha wanatimba bungeni kwenda kuwafurusha akina Halima Mdee na wenzake.
Kazi Iendelee!
miezi mitano iliyopita mahakama gani hapa TZ ingesikiliza au kuamua kesi kama hii?sasa tunachoka na hizi habari. Miezi mitano na mahakamani kupo chama kinasubiri nini.?
Tukaneni muwezavyo popote ila itisheni baraza kuu litoe maamuzi acheni kuruka ruka Ohh NDUGAI OHHH NEC ohhh RAISI ATOE MAAMUZI NOOOOOOOOOOOOO!!!! ITISHENI KIKAO CHA BARAZA KUU LENU KITOE MAAMUZI KAMA KATIBA YENU ISEMAVYO MSIRUKE BARAZA KUUWewe ni mpuuzi,, mjinga, mshenzi usiye na akili wala haya! Mwendawazimu Fulani hivi mganga njaa, mbuzi pori
Nyie mtahangaikasana mnazugwazugwa tu miakainaenda DJ anajua mchezowote.... na mwingine akatolewa gerezani usiku wa manane alfajiri akapewa ubunge! Hii nchi ilichezewa sana kwa kiwango kisichomithilika; kwa kiwango cha kutia aibu! Na bado wahusika pamoja na uvunjaji wa hatari wa Katiba na sheria za nchi wapo; wamekalia ofisi za umma bila wasiwasi.
Sawa tuchukulie hakuna mahakama ambayo ingesikiliza na baraza lao kuu la Chadema lingekataa kusikiliza? MBONA HAWAJALIITISHA LISIKILIZE WANAKIMBILIA NEC,na Kwa Ndugai na kwa Raisi kuwa awasiklilize?miezi mitano iliyopita mahakama gani hapa TZ ingesikiliza au kuamua kesi kama hii?
Who are you ututshurutishe? Unajua kilichotokea au nyege tu zinakusumbua?Tukaneni muwezavyo popote ila itisheni baraza kuu litoe maamuzi acheni kuruka ruka Ohh NDUGAI OHHH NEC ohhh RAISI ATOE MAAMUZI NOOOOOOOOOOOOO!!!! ITISHENI KIKAO CHA BARAZA KUU LENU KITOE MAAMUZI KAMA KATIBA YENU ISEMAVYO MSIRUKE BARAZA KUU
Baraza kuu la CHADEMA bado halijaongea chochote NEC wataongea baada ya baraza kuu la CHADEMA KUONGEANEC Wanajifanya mabubu
Ngoja tuone bwashee!Nyie mtahangaikasana mnazugwazugwa tu miakainaenda DJ anajua mchezowote.
Argument ya kijinga. Utawezaje kusema wamefoji wakati hiyo baria unayosema wamefoji hujawahi hata kuiona. Huko mahakamani utapeleka nini huko mahakani kuthibitisha wamefoji?Huo ni mchezo tu, kama walifoji barua mbona Chadema hawaendi mahakamani!?
Jambo lililopo ndani ya uwezo kumuachia Mungu ni ulemavu wa akili...... wamemwachia Mungu aliye hakimu na mwamuzi wa kweli.
Huu ni mchezo wa kisiasa wanaotufanyia......Baraza kuu lenyewe linalotakiwa kutoa uamuzi hawajiliitisha miezi yote hiyo!!! Wahuni tu hawa
... uwezo gani walio nao Mkuu? Wakasemee wapi? Maana wanazuiwa kwa mabomu na silaha za moto hata kwenye kutetea haki zao; utafanyaje zaidi ya kumwachia Mungu. Au wewe ni mgeni Tanzania ndani ya miaka michache iliyopita?Jambo lililopo ndani ya uwezo kumuachia Mungu ni ulemavu wa akili...
Na baraza kuu la Chadema haliaminiki? mbona hamuliitishi litoe maamuzi kuhusu hao wabunge kama katiba ya Chadema inavyotaka?NEC haaminiki, Ni hatari Sana kwa nchi...
Watu wanapiga mpunga bwashee walimwengu wana siri nzitosana.Ngoja tuone bwashee!
Bado nasisitiza huo ni mchezo tu, kwanini CHADEMA wasiitishe mkutano mkuu kutoa maamuzi ya mwisho,wawahoji akina Mdee,waandike barua upya kwa speaker waambatanishe vielelezo Kama alivyodai!?.. wanabaki kulalamika Twitter tu. Kuna ugumu gani hapo!?.. tukiwaambia CHADEMA wanawachezea mchezo hamuelewi.Argument ya kijinga. Utawezaje kusema wamefoji wakati hiyo baria unayosema wamefoji hujawahi hata kuiona. Huko mahakamani utapeleka nini huko mahakani kuthibitisha wamefoji?
Je, ikiwa hakukuwa ma barua, ikawa ni marehemu na Ndugai tu waliamua kuwatafuta hao covid 19?