Mnyika: Ni miezi 5 sasa NEC hawajajibu barua yangu kuhusu walikopata majina ya Wabunge 19 na nani amesaini fomu zao

Mnyika: Ni miezi 5 sasa NEC hawajajibu barua yangu kuhusu walikopata majina ya Wabunge 19 na nani amesaini fomu zao

MNyika na magenge yake waache kelele humu waeleze kikao cha baraza kuu kitafanyika lini? kumaliza hilo swala
Wewe ni mpuuzi,, mjinga, mshenzi usiye na akili wala haya! Mwendawazimu Fulani hivi mganga njaa, mbuzi pori
 
Katibu mkuu wa Chadema J J Mnyika amesema ni miezi 5 imepita tangu amwandikie mkurugenzi wa uchaguzi NEC akitaka kujua ni nani alipeleka orodha ya majina ya akina Halima Mdee na wenzake na form zao zilisainiwa na nani pahala alipotakiwa kusaini Katibu mkuu.

J J Mnyika anashangazwa sana na ukimya wa NEC ambao walipokea barua yake tangu 27/11/2020

Ikumbukwe hapa tarehe 10/05/2021 Bawacha wanatimba bungeni kwenda kuwafurusha akina Halima Mdee na wenzake.

Kazi Iendelee!
HATUFANYIIIIIIIIIIIIII KAZI VIPEPERUSHIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII HAMUELEWI TU.
 
kwenye Swala la COVID 19, huyu Ndugu Gai (Yule Msomi Matonya) anatukosea sana Watanzania, soon tutaanza Kumwomba Mungu Aende zake atuachie Tanzania yetu.
Mbona tayari ni maiti tu inayotembea , asikupe shida yule ni Kenge wa kijani.
 
Katibu mkuu wa Chadema J J Mnyika amesema ni miezi 5 imepita tangu amwandikie mkurugenzi wa uchaguzi NEC akitaka kujua ni nani alipeleka orodha ya majina ya akina Halima Mdee na wenzake na form zao zilisainiwa na nani pahala alipotakiwa kusaini Katibu mkuu.

J J Mnyika anashangazwa sana na ukimya wa NEC ambao walipokea barua yake tangu 27/11/2020

Ikumbukwe hapa tarehe 10/05/2021 Bawacha wanatimba bungeni kwenda kuwafurusha akina Halima Mdee na wenzake.

Kazi Iendelee!
Hawawezi kujibu kwa kuwa Upumbavu waliufanya wao na Hayati
 
sasa tunachoka na hizi habari. Miezi mitano na mahakamani kupo chama kinasubiri nini.?
miezi mitano iliyopita mahakama gani hapa TZ ingesikiliza au kuamua kesi kama hii?
 
Wewe ni mpuuzi,, mjinga, mshenzi usiye na akili wala haya! Mwendawazimu Fulani hivi mganga njaa, mbuzi pori
Tukaneni muwezavyo popote ila itisheni baraza kuu litoe maamuzi acheni kuruka ruka Ohh NDUGAI OHHH NEC ohhh RAISI ATOE MAAMUZI NOOOOOOOOOOOOO!!!! ITISHENI KIKAO CHA BARAZA KUU LENU KITOE MAAMUZI KAMA KATIBA YENU ISEMAVYO MSIRUKE BARAZA KUU
 
... na mwingine akatolewa gerezani usiku wa manane alfajiri akapewa ubunge! Hii nchi ilichezewa sana kwa kiwango kisichomithilika; kwa kiwango cha kutia aibu! Na bado wahusika pamoja na uvunjaji wa hatari wa Katiba na sheria za nchi wapo; wamekalia ofisi za umma bila wasiwasi.
Nyie mtahangaikasana mnazugwazugwa tu miakainaenda DJ anajua mchezowote.
 
miezi mitano iliyopita mahakama gani hapa TZ ingesikiliza au kuamua kesi kama hii?
Sawa tuchukulie hakuna mahakama ambayo ingesikiliza na baraza lao kuu la Chadema lingekataa kusikiliza? MBONA HAWAJALIITISHA LISIKILIZE WANAKIMBILIA NEC,na Kwa Ndugai na kwa Raisi kuwa awasiklilize?
 
Tukaneni muwezavyo popote ila itisheni baraza kuu litoe maamuzi acheni kuruka ruka Ohh NDUGAI OHHH NEC ohhh RAISI ATOE MAAMUZI NOOOOOOOOOOOOO!!!! ITISHENI KIKAO CHA BARAZA KUU LENU KITOE MAAMUZI KAMA KATIBA YENU ISEMAVYO MSIRUKE BARAZA KUU
Who are you ututshurutishe? Unajua kilichotokea au nyege tu zinakusumbua?
 
Huo ni mchezo tu, kama walifoji barua mbona Chadema hawaendi mahakamani!?
Argument ya kijinga. Utawezaje kusema wamefoji wakati hiyo baria unayosema wamefoji hujawahi hata kuiona. Huko mahakamani utapeleka nini huko mahakani kuthibitisha wamefoji?

Je, ikiwa hakukuwa ma barua, ikawa ni marehemu na Ndugai tu waliamua kuwatafuta hao covid 19?
 
Jambo lililopo ndani ya uwezo kumuachia Mungu ni ulemavu wa akili...
... uwezo gani walio nao Mkuu? Wakasemee wapi? Maana wanazuiwa kwa mabomu na silaha za moto hata kwenye kutetea haki zao; utafanyaje zaidi ya kumwachia Mungu. Au wewe ni mgeni Tanzania ndani ya miaka michache iliyopita?
 
Argument ya kijinga. Utawezaje kusema wamefoji wakati hiyo baria unayosema wamefoji hujawahi hata kuiona. Huko mahakamani utapeleka nini huko mahakani kuthibitisha wamefoji?

Je, ikiwa hakukuwa ma barua, ikawa ni marehemu na Ndugai tu waliamua kuwatafuta hao covid 19?
Bado nasisitiza huo ni mchezo tu, kwanini CHADEMA wasiitishe mkutano mkuu kutoa maamuzi ya mwisho,wawahoji akina Mdee,waandike barua upya kwa speaker waambatanishe vielelezo Kama alivyodai!?.. wanabaki kulalamika Twitter tu. Kuna ugumu gani hapo!?.. tukiwaambia CHADEMA wanawachezea mchezo hamuelewi.
 
Back
Top Bottom