Mnyika: Ni wakati sasa Serikali ipeleke bungeni muswada wa sheria kuruhusu mahabusu kuwazika wapendwa wao pale wanapofiwa

Nadhani kwa hili Mnyika ameongozwa na hisia zaidi kuliko uhalisia. Wote tunajua kuwa Kabendera anakomolewa, lakini sioni kama ni jambo kubwa sana la yeye kulitolea tamko. Ni vyema Mnyika akajikita kwenye jambo kubwa kama la katiba mpya na hasa tume huru ya uchaguzi, kuliko jambo dogo la kihisia zaidi. Mnyika na cdm mnakwama wapi, mbona mnaelekeza nguvu kwenye tukio kuliko mambo makubwa ya msingi?

Tunahitaji jambo kubwa la msingi ambayo ni tume huru ya uchaguzi, hilo la kwenda kuzika, sawa ni suala sahihi lakini sio muhimu hivyo.
 
Maisha ya mtanzania mmoja kuonewa na kukandamizwa kwa sababu za kipuuzi yana maana kubwa sana kuliko unavyofikiria, tena hatujui ni nani atakayefuata baada ya Kabendera.
Kwa hiyo Mnyika yuko sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yuko sahihi, ila sio kwa msisitizo huo. Nadhani suala la tume huru ya uchaguzi ni sehemu ambayo anapaswa kuweka nguvu zaidi.
 
Kumuelewa nyumbu hadi uwe taahira,anadai demokrasia wakati yeye so mfano wa demokrasia,abadai kaflag aachiwe wanasahau kuwa sheria za nchi haziruhusu,ikiwa itakuwa hivyo watasema watawala wanavunja sheria
Mimi sielewi, kwa nini nyumbu wamekomaa na kabendera? Kuna nini? Miaka yote mahabusu wanafiwa na wazazi wao hakuna hata mmoja alinyanyua mkia kuomba wakazike. Wajue accacia hairudi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani kwa hili Mnyika ameongozwa na hisia zaidi kuliko uhalisia. Wote tunajua kuwa Kabendera anakomolewa, lakini sioni kama ni jambo kubwa sana la yeye kulitolea tamko. Ni vyema Mnyika akajikita kwenye jambo kubwa kama la katiba mpya na hasa tume huru ya uchaguzi, kuliko jambo dogo la kihisia zaidi. Mnyika na cdm mnakwama wapi, mbona mnaelekeza nguvu kwenye tukio kuliko mambo makubwa ya msingi?

Tunahitaji jambo kubwa la msingi ambayo ni tume huru ya uchaguzi, hilo la kwenda kuzika, sawa ni suala sahihi lakini sio muhimu hivyo.
Leo umeongea kama ngosha lakini siku zingine unaongeaga kama nkhima!
 
Nimeiona hii habari pia.

Mnyika kazugumza bila mihemko tofauti na kelele za wenzie wengi ambao wanataka hata hili la kuaga lionekane hujuma ilhali hata hiyo sheria amma utaratibu haupo.

Kama kuna ulazima wa mahabusu kushiriki misiba basi iwepo sheria au miongozo ili hata wasiokuwa na wakusemea watambuliwe.
 
Sioni kama ni jambo dogo. Haki ya mtu haiwezi kuwa jambo dogo mkuu.
Nadhani kwa hili Mnyika ameongozwa na hisia zaidi kuliko uhalisia. Wote tunajua kuwa Kabendera anakomolewa, lakini sioni kama ni jambo kubwa sana la yeye kulitolea tamko. Ni vyema Mnyika akajikita kwenye jambo kubwa kama la katiba mpya na hasa tume huru ya uchaguzi, kuliko jambo dogo la kihisia zaidi. Mnyika na cdm mnakwama wapi, mbona mnaelekeza nguvu kwenye tukio kuliko mambo makubwa ya msingi?

Tunahitaji jambo kubwa la msingi ambayo ni tume huru ya uchaguzi, hilo la kwenda kuzika, sawa ni suala sahihi lakini sio muhimu hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii
Katibu mkuu mteule wa CHADEMA Mh Mnyika amesema msiba wa mama Erick Kabendera uwe ni somo kwamba kuna haja ya Serikali kupeleka bungeni muswada wa sheria utakaotoa nafuu kwa mahabusu kuwazika wapendwa wao pale wanapofiwa.

Chanzo: ITV Habari

Maendeleo hayana vyama!
Hii naunga mkono hoja tutakuwa tumepiga hatua kubwa sana na huenda ikaigwa na nchi zingine.
 
Hilo linawezekana na ni haki za binadamu pia,kama inawezekana mfungwa kupata haki ya matibabu nje ya magereza tena kwa masiku inashindikana vipi kupata haki ya kuaga mpendwa wake tena kwa masaa tu.SHERIA SI MSAHAFU TUMEZITUNGA SISI WANADAMU KUENDANA NA WAKATI
 
Nadhani kwa hili Mnyika ameongozwa na hisia zaidi kuliko uhalisia. Wote tunajua kuwa Kabendera anakomolewa, lakini sioni kama ni jambo kubwa sana la yeye kulitolea tamko. Ni vyema Mnyika akajikita kwenye jambo kubwa kama la katiba mpya na hasa tume huru ya uchaguzi, kuliko jambo dogo la kihisia zaidi. Mnyika na cdm mnakwama wapi, mbona mnaelekeza nguvu kwenye tukio kuliko mambo makubwa ya msingi?

Tunahitaji jambo kubwa la msingi ambayo ni tume huru ya uchaguzi, hilo la kwenda kuzika, sawa ni suala sahihi lakini sio muhimu hivyo.
Pigania dogo ukiwa nje ili siku ukiwa jela yatakapokukuta ndo utaliona lilivokubwa.Kuna watu walikuwa na nafasi ya kufanya mabadiliko mfano lowasa na sumaye ya kuleta katiba mpya wakiwa kwenye mfumo lkn hawakuona umuhimu wake ni hadi walipokuwa upinzani.Sumaye amewahisema ukitaka mambo yako yakunyookeee ni lzm uwe ccm Mungu fundi akaamia upinzani jibu la kauli yake kapata.
 
Back
Top Bottom