Mnyika: Ni wakati sasa Serikali ipeleke bungeni muswada wa sheria kuruhusu mahabusu kuwazika wapendwa wao pale wanapofiwa

Mnyika: Ni wakati sasa Serikali ipeleke bungeni muswada wa sheria kuruhusu mahabusu kuwazika wapendwa wao pale wanapofiwa

Nadhani kwa hili Mnyika ameongozwa na hisia zaidi kuliko uhalisia. Wote tunajua kuwa Kabendera anakomolewa, lakini sioni kama ni jambo kubwa sana la yeye kulitolea tamko. Ni vyema Mnyika akajikita kwenye jambo kubwa kama la katiba mpya na hasa tume huru ya uchaguzi, kuliko jambo dogo la kihisia zaidi. Mnyika na cdm mnakwama wapi, mbona mnaelekeza nguvu kwenye tukio kuliko mambo makubwa ya msingi?

Tunahitaji jambo kubwa la msingi ambayo ni tume huru ya uchaguzi, hilo la kwenda kuzika, sawa ni suala sahihi lakini sio muhimu hivyo.
Nchi zote zenye wananchi wanaojitambua zimefanikiwa kupata katiba mpya, sisi na ujinga wetu tunataka Chadema ipiganie katiba mpya! Huu ni ujuha.
 
Pigania sheria ukiwa huru ili siku ukiwa mfungwa ikufae.Jela,ugonjwa,ulemavu havina mwenyewe kila mmoja wewe mimi ni watarajiwa,waliofikwa sio kwamba ni wadhambi Sana.
 
Nadhani kwa hili Mnyika ameongozwa na hisia zaidi kuliko uhalisia. Wote tunajua kuwa Kabendera anakomolewa, lakini sioni kama ni jambo kubwa sana la yeye kulitolea tamko. Ni vyema Mnyika akajikita kwenye jambo kubwa kama la katiba mpya na hasa tume huru ya uchaguzi, kuliko jambo dogo la kihisia zaidi. Mnyika na cdm mnakwama wapi, mbona mnaelekeza nguvu kwenye tukio kuliko mambo makubwa ya msingi?

Tunahitaji jambo kubwa la msingi ambayo ni tume huru ya uchaguzi, hilo la kwenda kuzika, sawa ni suala sahihi lakini sio muhimu hivyo.
Katiba mpya ni kwa manufaa ya wananchi wote na sio kwa cdm pekee.Kumbuka vyama ccm ,cdm ,act ,cuf vitapita lkn nchi na wananchi awatopita
 
Hata ikipelekwa hiyo shsria kutawekwa loopholes ili wale waliolengwa kukomolewa wasinufaike nayo.

Naamini kwa hali ya sasa ilivyo, lazima kutakuwa na utaratibu wa kuwezesha hilo, ila wanufaika pengine siyo wale ambao dola imepania kuwakomoa
 
Katibu mkuu mteule wa CHADEMA Mh Mnyika amesema msiba wa mama Erick Kabendera uwe ni somo kwamba kuna haja ya Serikali kupeleka bungeni muswada wa sheria utakaotoa nafuu kwa mahabusu kuwazika wapendwa wao pale wanapofiwa.

Chanzo: ITV Habari

Maendeleo hayana vyama!
Ooh my goodness! This is why extensive knowledge 📕 is important and necessary for certain level of leadership and people surrounding him. Kuna vitu vya muhimu zaidi.. Kiongozi hupaswi kuwa driven na personal feeling za watu.
 
Yuko sahihi, ila sio kwa msisitizo huo. Nadhani suala la tume huru ya uchaguzi ni sehemu ambayo anapaswa kuweka nguvu zaidi.
Unataka kusema hawezi kutafuta big G na kutembea wakati mmoja?
Amandla.....
 
Ooh my goodness! This is why extensive knowledge 📕 is important and necessary for certain level of leadership and people surrounding him. Kuna vitu vya muhimu zaidi.. Kiongozi hupaswi kuwa driven na personal feeling za watu.
Kama kiongozi hapaswi kuwa driven na personal feeling za WATU unataka aongozwe na nini?

Amandla....
 
Nadhani sasa tindo atakuwa ameona jinsi pale chadema ilivyozungukwa na vijana mbumbumbu. Ona jinsi walivyo quote coment yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wapo zuri , ila mlitaka mpaka Kabendera apate kadhia hilo ndo mtambue umuhim wa sheria hilo?

Ni watu wangapi wamepatwa na hilo mpaka leo? Hapo ndo utajua birds of the same feather flocks together.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo swali lako zuri sana. Lakini linge pendeza zaidi kama unge wauliza wabunge wale wanao pitisha sheria ki mrengo wa Chama.. Bila kuangalia athari za jamii husika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom