johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lazima kuna jambo litakalo pelekea msukumo wa jambo flani kufanyikaNi wapo zuri , ila mlitaka mpaka Kabendera apate kadhia hilo ndo mtambue umuhim wa sheria hilo?
Ni watu wangapi wamepatwa na hilo mpaka leo? Hapo ndo utajua birds of the same feather flocks together.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ya mtanzania mmoja kuonewa na kukandamizwa kwa sababu za kipuuzi yana maana kubwa sana kuliko unavyofikiria, tena hatujui ni nani atakayefuata baada ya Kabendera.Nadhani kwa hili Mnyika ameongozwa na hisia zaidi kuliko uhalisia. Wote tunajua kuwa Kabendera anakomolewa, lakini sioni kama ni jambo kubwa sana la yeye kulitolea tamko. Ni vyema Mnyika akajikita kwenye jambo kubwa kama la katiba mpya na hasa tume huru ya uchaguzi, kuliko jambo dogo la kihisia zaidi. Mnyika na cdm mnakwama wapi, mbona mnaelekeza nguvu kwenye tukio kuliko mambo makubwa ya msingi?
Tunahitaji jambo kubwa la msingi ambayo ni tume huru ya uchaguzi, hilo la kwenda kuzika, sawa ni suala sahihi lakini sio muhimu hivyo.
Maisha ya mtanzania mmoja kuonewa na kukandamizwa kwa sababu za kipuuzi yana maana kubwa sana kuliko unavyofikiria, tena hatujui ni nani atakayefuata baada ya Kabendera.
Kwa hiyo Mnyika yuko sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sielewi, kwa nini nyumbu wamekomaa na kabendera? Kuna nini? Miaka yote mahabusu wanafiwa na wazazi wao hakuna hata mmoja alinyanyua mkia kuomba wakazike. Wajue accacia hairudi tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo umeongea kama ngosha lakini siku zingine unaongeaga kama nkhima!Nadhani kwa hili Mnyika ameongozwa na hisia zaidi kuliko uhalisia. Wote tunajua kuwa Kabendera anakomolewa, lakini sioni kama ni jambo kubwa sana la yeye kulitolea tamko. Ni vyema Mnyika akajikita kwenye jambo kubwa kama la katiba mpya na hasa tume huru ya uchaguzi, kuliko jambo dogo la kihisia zaidi. Mnyika na cdm mnakwama wapi, mbona mnaelekeza nguvu kwenye tukio kuliko mambo makubwa ya msingi?
Tunahitaji jambo kubwa la msingi ambayo ni tume huru ya uchaguzi, hilo la kwenda kuzika, sawa ni suala sahihi lakini sio muhimu hivyo.
Kwahiyo ndugu wa akina Rugemalira na Seth waliofariki ndugubzao wakiwa mahabusu hawakuwa na umuhimu? Basi sawa!Lazima kuna jambo litakalo pelekea msukumo wa jambo flani kufanyika
Masikini Eric!Katibu mkuu mteule wa CHADEMA Mh Mnyika amesema msiba wa mama Erick Kabendera uwe ni somo kwamba kuna haja ya Serikali kupeleka bungeni muswada wa sheria utakaotoa nafuu kwa mahabusu kuwazika wapendwa wao pale wanapofiwa.
Chanzo: ITV Habari
Maendeleo hayana vyama!
Leo umeongea kama ngosha lakini siku zingine unaongeaga kama nkhima!
Nadhani kwa hili Mnyika ameongozwa na hisia zaidi kuliko uhalisia. Wote tunajua kuwa Kabendera anakomolewa, lakini sioni kama ni jambo kubwa sana la yeye kulitolea tamko. Ni vyema Mnyika akajikita kwenye jambo kubwa kama la katiba mpya na hasa tume huru ya uchaguzi, kuliko jambo dogo la kihisia zaidi. Mnyika na cdm mnakwama wapi, mbona mnaelekeza nguvu kwenye tukio kuliko mambo makubwa ya msingi?
Tunahitaji jambo kubwa la msingi ambayo ni tume huru ya uchaguzi, hilo la kwenda kuzika, sawa ni suala sahihi lakini sio muhimu hivyo.
Hii naunga mkono hoja tutakuwa tumepiga hatua kubwa sana na huenda ikaigwa na nchi zingine.Katibu mkuu mteule wa CHADEMA Mh Mnyika amesema msiba wa mama Erick Kabendera uwe ni somo kwamba kuna haja ya Serikali kupeleka bungeni muswada wa sheria utakaotoa nafuu kwa mahabusu kuwazika wapendwa wao pale wanapofiwa.
Chanzo: ITV Habari
Maendeleo hayana vyama!
Pigania dogo ukiwa nje ili siku ukiwa jela yatakapokukuta ndo utaliona lilivokubwa.Kuna watu walikuwa na nafasi ya kufanya mabadiliko mfano lowasa na sumaye ya kuleta katiba mpya wakiwa kwenye mfumo lkn hawakuona umuhimu wake ni hadi walipokuwa upinzani.Sumaye amewahisema ukitaka mambo yako yakunyookeee ni lzm uwe ccm Mungu fundi akaamia upinzani jibu la kauli yake kapata.Nadhani kwa hili Mnyika ameongozwa na hisia zaidi kuliko uhalisia. Wote tunajua kuwa Kabendera anakomolewa, lakini sioni kama ni jambo kubwa sana la yeye kulitolea tamko. Ni vyema Mnyika akajikita kwenye jambo kubwa kama la katiba mpya na hasa tume huru ya uchaguzi, kuliko jambo dogo la kihisia zaidi. Mnyika na cdm mnakwama wapi, mbona mnaelekeza nguvu kwenye tukio kuliko mambo makubwa ya msingi?
Tunahitaji jambo kubwa la msingi ambayo ni tume huru ya uchaguzi, hilo la kwenda kuzika, sawa ni suala sahihi lakini sio muhimu hivyo.