Mnyika: Tarehe 21 January ni Chadema Day ndio Siku Chadema tulipata Usajili kamili 1993. Hivyo itakuwa zaidi ya Uchaguzi na Chadema Kuzaliwa Upya!

Jiandaeni kurudi NCCR ama TLP - mambo ya fujo na siasa za ubaguzi kafanyieni huko CDM hayana nafasi.
Na waambie hao vinara wenzenu - WANAPIGWA asubuhi saana.
 
Jiandaeni kurudi NCCR ama TLP - mambo ya fujo na siasa za ubaguzi kafanyieni huko CDM hayana nafasi.
Na waambie hao vinara wenzenu - WANAPIGWA asubuhi saana.
Na Yeye ajiandae kurudi St Peters πŸ˜‚
 
Mbowe kuwa tena mwenyekiti ni kuifanya Chadema kuwa kigango cha CCM, hii hakubaliki hata kigogo .
lile bango la maridhiano la ccm linaonesha chadema hii ya mbowe ni tawi la ccm, haipendezi kwa kweli
 
Toka 1993 mnacheza reggae tu,

1993 George Weah alikuwa 27yrs akichezea PSG,hana hata ndoto za urais.

Kastaafu soka 2003 kaanzisha chama 2005 kawa rais 2018!

Kwa hali ya maisha ya Tz,kushindwa kumshawishi mtu kuwa wewe ni mbadala wa CCM ni uzembe wako hata kama inaiba kura!
 
Natamani Mbowe awe Waziri mkuu.Ila SAIZ CHADEMA Amuachie Lissu time. Tundu lissu
 
Ooh kumbe! Mungu ana namna yake ya kufanya kazi kweli. Na kwa hakika, siku hiyo Chama kinaenda kuzaliwa upya. Kutoka chama kinachofanya kazi kwa niaba ya dola, kuwa chama rasmi cha Upinzani.
 
Mnyika ni team lissu ila anajikausha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…