johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwaliko au Rasimu ya kanuni?Vyama vingine vimepewa?
Hatari na nusu 🐼ushauri: msipande ndege moja na mw …
Suluhisho ni nini? Tuwaache nyani watawale shamba la mahindi?.....Msije kwenda kwenye uchaguzi kwa katiba hii na tume hii. Tumechoka kusikia malalamiko na manung'uniko toka kwenu kwa visingizio vinavyoepukika.
Huyu si ccm wanasema kasusa kufanya kazi za Chadema, kwani bado yupo?Katibu mkuu wa Chadema John Mnyika amesema wamealikwa kwenye kikao Cha kupitia Kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa Lakini hawajapewa rasimu ya Kanuni Ili wazipitie na kikao ni June 15
Viongozi wanaomba ushauri wa wanachama katika Mazingira hayo wafanye nini?
Ayo tv
Hapa ndio pale baadhi wanao wapendelea wanaotuendesha kama gari bovu kulingana na watakavyo wao,wawasiliane na waliotoa mwaliko iwapo hawataonyesha nia na utayari wa uwazi wa rasimu husika,yafanyike maamuzi mengine.Taarifa ya mambo yasiyo sawa na upendeleo wa chama twawala,zimfikie Lucas,Tlatla na wengine taifa ni letu sote sharti ujenzi wake uwe jumuishi.Katibu mkuu wa Chadema John Mnyika amesema wamealikwa kwenye kikao Cha kupitia Kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa Lakini hawajapewa rasimu ya Kanuni Ili wazipitie na kikao ni June 15
Viongozi wanaomba ushauri wa wanachama katika Mazingira hayo wafanye nini?
Ayo tv
Huyu nani?Huyu si ccm wanasema kasusa kufanya kazi za Chadema, kwani bado yupo?
Suluhisho ni nini ?Waende tu kama ushahidi, lakini wapiga kura tumeshapuuza huo utoto uitwao uchaguzi.
Mwaliko ni umekosewa, ni kikao cha kutunga kanuni!.Katibu mkuu wa Chadema John Mnyika amesema wamealikwa kwenye kikao Cha kupitia Kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa Lakini hawajapewa rasimu ya Kanuni Ili wazipitie na kikao ni June 15
Viongozi wanaomba ushauri wa wanachama katika Mazingira hayo wafanye nini?
Ayo tv
Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatarejesha heshima ya box la kura.Suluhisho ni nini ?
Ndoto ya mchana 🐼😄Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatarejesha heshima ya box la kura.
Mnataka mmwage damu za watu ?Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatarejesha heshima ya box la kura.