Mnyika unalalamika 'charge sheet' kutotaja kiasi cha pesa Mbowe alichofadhili ugaidi; hii ni sababu ya kutokuwa na hatia?

Nimesema futen vyama vya siasa tuwe na amani, watu na familia zao wanahangaika bila sabab ya maana
Lazima police na Mahakama watafutiwe shuguli ya kufanya. Na kwa kosa la Ugaidi kama vile mashehe wa Uamsho vyumba vimebaki wazi Segadansi, wawepo wakuvijaza .
 
Kiasi ni muhimu standard ni beyond reasonable doubt
 
Ona ulivyo mjinga! CCM ndiyo inaongoza nchi wewe unawaona wajinga wakati wewe mwenye akili umeshindwa kuongoza nchi sasa hapo mwenye akili ni nani? Wewe unayepiga miayo kwenye mitandao au wale wanaoongoza nchi?
 
Mkuu mimi napenda nchi iwe na amani na kusiwe na uonevu kisa tofaut zetu kisiasa, tufute vyote kabisa ibaki CCM pekee kaz iendelee.... maana vyama vingi ni kuwapotezea polisi focus tu
Siasa ni sehemu ndogo sana ya amani
 
Kamanda punguza munkari usije ukapasuka bure, mbowe ana wanasheria wanaomtetea, watahoji mahakamani pindi ushahidi utakapoanza kutolewa.
Hao kina Mnyika wakae watulie wasije wakaingia kwenye hatia ya kuingilia mwenendo wa kesi iliyoko mahakamani.
Kesi za kubumba, zinatia najisi mahakama zetu.


Acheni upuuzi wa mwendazake!
 
Hivi unaelewa particulars zinazotakiwa kuwekwa kwenye charge sheet?
 
TUMIA AKILI HATA ZA KUAZIMA HOJA HAPO NI MAPUNGUFU YA CHARGE SHEET au umetolewa UBONGO WOTE
 
Ona ulivyo mjinga! CCM ndiyo inaongoza nchi wewe unawaona wajinga wakati wewe mwenye akili umeshindwa kuongoza nchi sasa hapo mwenye akili ni nani? Wewe unayepiga miayo kwenye mitandao au wale wanaoongoza nchi?
Hata Amin, pamoja na akili yake ndogo, elimu ndogo, alikuwa Rais wa Uganda, tena bila ya Tanzania, sijui angeondoka kwenye madaraka muda gani. Kutawala hakuna uhusiano na uwezo wa akili.
 
Mkuu mimi napenda nchi iwe na amani na kusiwe na uonevu kisa tofaut zetu kisiasa, tufute vyote kabisa ibaki CCM pekee kaz iendelee.... maana vyama vingi ni kuwapotezea polisi focus tu
Usijali,twende hivihivi.Naombea vizaliwe vyama vingine vitakavyokuwa vinasumbuliwa kama chadema.
Mwisho wa CCM hawatakuja kurudi kwenye mamlaka,Polisi hawatawatumikia miaka yote,Vijana wanaopewa nyota siku hizi ni damu nyingine.
 
Unakuwa mpumba.vu kama unamshtaki mtu kwa kosa ambalo hata wewe mwenyewe hujui kiwango cha uhalifu. Wapumb.avu wa namna wanapatikana ndani ya nchi yetu tu, na hasa ndani ya CCM maana huko hata TWAWEZA walisema, ndiko walikojaa.
Ni mpumbavu pekee ndiye anaeweza kuomba solid evidence (ushahidi wote) ilihali mtuhumia bado yupo rumande Ili kuruhu upelelezi zaidi ukamilike.

Yani unataka barua inayowekwa mitandaoni iambatanishwe na ushahidi wote wewe ni mahakama au? Ukitaka ushahidi wote subiria siku ya kesi uende mahakamani ukasilize.

Mnapenda kujifanya mnaijua kila kitu kuliko watu wote,ilihali mmejaza vinyesi tumboni.
 
Bladifaken
 
Hivi akina msigwa mpaka leo bado wako buzy kufuta legacy ya mwendazake
 
Kwani kutotaja figure ya pesa alizofadhili ndio hoja?

..nadhani anayo hoja.

..kwasababu sidhani kama sh 10 zinatosha kufadhili au kushawishi ugaidi.

..lazima kiasi cha fedha kielezwe na kiwe kina uthibitisho.
 
Chama Kikuu Cha Upinzani kipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…