Wee lofa maisha yako unategemea mshahara wa Kodi za wananchi, ufe muda wowote ndani ya wiki ijayoKwani kutotaja figure ya pesa alizofadhili ndio hoja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee lofa maisha yako unategemea mshahara wa Kodi za wananchi, ufe muda wowote ndani ya wiki ijayoKwani kutotaja figure ya pesa alizofadhili ndio hoja?
Lazima police na Mahakama watafutiwe shuguli ya kufanya. Na kwa kosa la Ugaidi kama vile mashehe wa Uamsho vyumba vimebaki wazi Segadansi, wawepo wakuvijaza .Nimesema futen vyama vya siasa tuwe na amani, watu na familia zao wanahangaika bila sabab ya maana
Kiasi ni muhimu standard ni beyond reasonable doubtKuna masuala ya ajabu sana huwa yanachanganya sana. Maana mwanasiasa ambaye ni katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani kulalama huku akiwa hana hoja zenye mashiko ni kukosa busara.
Mnyika analalama kuwa Charge sheet ambayo ameshitakiwa nayo Mbowe haijataja figure kamili ya pesa ambazo Mbowe alizifadhili ili ugaidi kufanyika. Hivyo rais amfutie mashitak. Je, hoja kama kama hii ina mashiko? Huku ni kukuosa uelewa wa mambo.
Kutotaja kiasi cha pesa hakuondoi kosa la mshitakiwa kama Charge sheet inaeleza kwa ufahasa kifungu kilichovunjwa. Labda kama kungekuwa na mkankanyiko juu ya kosa husika na kiasi gani cha pesa kilichotumika.
My take: Viongozi wa Chadema wamekosa busara, hivyo wasilete papara kushughulikia masuala ya kisheria.
Ona ulivyo mjinga! CCM ndiyo inaongoza nchi wewe unawaona wajinga wakati wewe mwenye akili umeshindwa kuongoza nchi sasa hapo mwenye akili ni nani? Wewe unayepiga miayo kwenye mitandao au wale wanaoongoza nchi?Report ya TWAWEZA ilisema, CCM inapendwa na watu wasio na elimu, watu wajinga. Bila shaka, wewe ni miongoni.
Nitajie japo mtu mmoja tu ambaye ni CCM damu damu ambaye mwenye mawazo huru, na ambaye kwa matendo na kauli zake anaonekana ni super intelligent.
Hata vikifutwa kama amani huna ni huna tuNimesema futen vyama vya siasa tuwe na amani, watu na familia zao wanahangaika bila sabab ya maana
Siasa ni sehemu ndogo sana ya amaniMkuu mimi napenda nchi iwe na amani na kusiwe na uonevu kisa tofaut zetu kisiasa, tufute vyote kabisa ibaki CCM pekee kaz iendelee.... maana vyama vingi ni kuwapotezea polisi focus tu
Tuambie kwanza Sabaya atafutiwa lini makosa yakeKwani kutotaja figure ya pesa alizofadhili ndio hoja?
Kesi za kubumba, zinatia najisi mahakama zetu.Kamanda punguza munkari usije ukapasuka bure, mbowe ana wanasheria wanaomtetea, watahoji mahakamani pindi ushahidi utakapoanza kutolewa.
Hao kina Mnyika wakae watulie wasije wakaingia kwenye hatia ya kuingilia mwenendo wa kesi iliyoko mahakamani.
Hivi unaelewa particulars zinazotakiwa kuwekwa kwenye charge sheet?Kuna masuala ya ajabu sana huwa yanachanganya sana. Maana mwanasiasa ambaye ni katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani kulalama huku akiwa hana hoja zenye mashiko ni kukosa busara.
Mnyika analalama kuwa Charge sheet ambayo ameshitakiwa nayo Mbowe haijataja figure kamili ya pesa ambazo Mbowe alizifadhili ili ugaidi kufanyika. Hivyo rais amfutie mashitak. Je, hoja kama kama hii ina mashiko? Huku ni kukuosa uelewa wa mambo.
Kutotaja kiasi cha pesa hakuondoi kosa la mshitakiwa kama Charge sheet inaeleza kwa ufahasa kifungu kilichovunjwa. Labda kama kungekuwa na mkankanyiko juu ya kosa husika na kiasi gani cha pesa kilichotumika.
My take: Viongozi wa Chadema wamekosa busara, hivyo wasilete papara kushughulikia masuala ya kisheria.
TUMIA AKILI HATA ZA KUAZIMA HOJA HAPO NI MAPUNGUFU YA CHARGE SHEET au umetolewa UBONGO WOTEKuna masuala ya ajabu sana huwa yanachanganya sana. Maana mwanasiasa ambaye ni katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani kulalama huku akiwa hana hoja zenye mashiko ni kukosa busara.
Mnyika analalama kuwa Charge sheet ambayo ameshitakiwa nayo Mbowe haijataja figure kamili ya pesa ambazo Mbowe alizifadhili ili ugaidi kufanyika. Hivyo rais amfutie mashitak. Je, hoja kama kama hii ina mashiko? Huku ni kukuosa uelewa wa mambo.
Kutotaja kiasi cha pesa hakuondoi kosa la mshitakiwa kama Charge sheet inaeleza kwa ufahasa kifungu kilichovunjwa. Labda kama kungekuwa na mkankanyiko juu ya kosa husika na kiasi gani cha pesa kilichotumika.
My take: Viongozi wa Chadema wamekosa busara, hivyo wasilete papara kushughulikia masuala ya kisheria.
Is charge sheet not curable?TUMIA AKILI HATA ZA KUAZIMA HOJA HAPO NI MAPUNGUFU YA CHARGE SHEET au umetolewa UBONGO WOTEView attachment 1875515
Hata Amin, pamoja na akili yake ndogo, elimu ndogo, alikuwa Rais wa Uganda, tena bila ya Tanzania, sijui angeondoka kwenye madaraka muda gani. Kutawala hakuna uhusiano na uwezo wa akili.Ona ulivyo mjinga! CCM ndiyo inaongoza nchi wewe unawaona wajinga wakati wewe mwenye akili umeshindwa kuongoza nchi sasa hapo mwenye akili ni nani? Wewe unayepiga miayo kwenye mitandao au wale wanaoongoza nchi?
Usijali,twende hivihivi.Naombea vizaliwe vyama vingine vitakavyokuwa vinasumbuliwa kama chadema.Mkuu mimi napenda nchi iwe na amani na kusiwe na uonevu kisa tofaut zetu kisiasa, tufute vyote kabisa ibaki CCM pekee kaz iendelee.... maana vyama vingi ni kuwapotezea polisi focus tu
Ni mpumbavu pekee ndiye anaeweza kuomba solid evidence (ushahidi wote) ilihali mtuhumia bado yupo rumande Ili kuruhu upelelezi zaidi ukamilike.Unakuwa mpumba.vu kama unamshtaki mtu kwa kosa ambalo hata wewe mwenyewe hujui kiwango cha uhalifu. Wapumb.avu wa namna wanapatikana ndani ya nchi yetu tu, na hasa ndani ya CCM maana huko hata TWAWEZA walisema, ndiko walikojaa.
BladifakenKuna masuala ya ajabu sana huwa yanachanganya sana. Maana mwanasiasa ambaye ni katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani kulalama huku akiwa hana hoja zenye mashiko ni kukosa busara.
Mnyika analalama kuwa Charge sheet ambayo ameshitakiwa nayo Mbowe haijataja figure kamili ya pesa ambazo Mbowe alizifadhili ili ugaidi kufanyika. Hivyo rais amfutie mashitak. Je, hoja kama kama hii ina mashiko? Huku ni kukuosa uelewa wa mambo.
Kutotaja kiasi cha pesa hakuondoi kosa la mshitakiwa kama Charge sheet inaeleza kwa ufahasa kifungu kilichovunjwa. Labda kama kungekuwa na mkankanyiko juu ya kosa husika na kiasi gani cha pesa kilichotumika.
My take: Viongozi wa Chadema wamekosa busara, hivyo wasilete papara kushughulikia masuala ya kisheria.
BladifakenHuo ni ushahidi sasa unataka uwekwe kwenye charge sheet. Subiri ushahidi uanze kutolewa ndiyo hayo ya solid evidence utayasikia. Umbumbumbu unawasumbua sana nyinyi wanasaccos.
Kwani kutotaja figure ya pesa alizofadhili ndio hoja?
Chama Kikuu Cha Upinzani kipi?Kuna masuala ya ajabu sana huwa yanachanganya sana. Maana mwanasiasa ambaye ni katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani kulalama huku akiwa hana hoja zenye mashiko ni kukosa busara.