Mnyika unalalamika 'charge sheet' kutotaja kiasi cha pesa Mbowe alichofadhili ugaidi; hii ni sababu ya kutokuwa na hatia?

Mnyika unalalamika 'charge sheet' kutotaja kiasi cha pesa Mbowe alichofadhili ugaidi; hii ni sababu ya kutokuwa na hatia?

Kuna masuala ya ajabu sana huwa yanachanganya sana. Maana mwanasiasa ambaye ni katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani kulalama huku akiwa hana hoja zenye mashiko ni kukosa busara.

Mnyika analalama kuwa Charge sheet ambayo ameshitakiwa nayo Mbowe haijataja figure kamili ya pesa ambazo Mbowe alizifadhili ili ugaidi kufanyika. Hivyo rais amfutie mashitak. Je, hoja kama kama hii ina mashiko? Huku ni kukuosa uelewa wa mambo.

Kutotaja kiasi cha pesa hakuondoi kosa la mshitakiwa kama Charge sheet inaeleza kwa ufahasa kifungu kilichovunjwa. Labda kama kungekuwa na mkankanyiko juu ya kosa husika na kiasi gani cha pesa kilichotumika.

My take: Viongozi wa Chadema wamekosa busara, hivyo wasilete papara kushughulikia masuala ya kisheria.
Mnyika ana busara gani au akili gani ya kuhoji maamuzi ya wasomi wakati yeye shule ilimshinda!?
 
Idugunde

Ficha kidogo ujinga wako kama hujui uliza
Tunahtaji solid evidence ,amefadhiri shingapi zilienda kwanan nani alipokea alilipwa

Mnatuboa sana

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Wewe pia ficha ujinga wako, mtu anapotuhumiwa kwa makosa fulani kisha akawekwa rumande, haimaanishi kuwa ushahidi wote umekamilika, anakuwa ndani huku ushahidi zaidi ukiendelea kukusanywa siku hadi siku.

Sasa unapokuja na hoja ya kuhutaji sold evidence wakati Kasi bado inatakiwa kusikilizwa,unaonekana mjinga tu.
 
Niulize baada ya kushindwa kujibu kwa hoja mmechagua silaha yenu ya mwisho bambika kesi ya juu kabisa ya kiwango cha lami uga..id
Duuh..! Avatar yako ni Vessel (chombo), ila kwa huu utumbo ulioandika hapa nina wasiwasi huenda ni chombo cha kujitawazia kwenye vyoo vya stendi za mikoani.
 
Kuna masuala ya ajabu sana huwa yanachanganya sana. Maana mwanasiasa ambaye ni katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani kulalama huku akiwa hana hoja zenye mashiko ni kukosa busara.

Mnyika analalama kuwa Charge sheet ambayo ameshitakiwa nayo Mbowe haijataja figure kamili ya pesa ambazo Mbowe alizifadhili ili ugaidi kufanyika. Hivyo rais amfutie mashitak. Je, hoja kama kama hii ina mashiko? Huku ni kukuosa uelewa wa mambo.

Kutotaja kiasi cha pesa hakuondoi kosa la mshitakiwa kama Charge sheet inaeleza kwa ufahasa kifungu kilichovunjwa. Labda kama kungekuwa na mkankanyiko juu ya kosa husika na kiasi gani cha pesa kilichotumika.

My take: Viongozi wa Chadema wamekosa busara, hivyo wasilete papara kushughulikia masuala ya kisheria.
Wewe nawe unazungumzia busara! Maajabu makubwa. Mtu ambaye huna busara, huna utu, huna uelewa, mnafiki, mwongo, ambaye hujawahi kuleta mada yoyote inayoashiria uhuru wa akili, utamjuaje mwenye busara?
 
Mnyika ana busara gani au akili gani ya kuhoji maamuzi ya wasomi wakati yeye shule ilimshinda!?
Kwani ile akili ya kuporwa pale getini ulishaifuata, kama tayari yawezakuwa umeridishiwa isiyoyako. Kagua nipe mrejesho.
 
Idugunde

Ficha kidogo ujinga wako kama hujui uliza
Tunahtaji solid evidence ,amefadhiri shingapi zilienda kwanan nani alipokea alilipwa

Mnatuboa sana

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Huyu hana akili. Huwezi kumshitaki mtu aliyekuibia bila ya kutaja kilichoibiwa, kiasi, thamani, mahali na wakati.

Mtu mjinga anaamini kuwa na wengine ni wajinga kama yeye.
 
Kwani ile akili ya kuporwa pale getini ulishaifuata, kama tayari yawezakuwa umeridishiwa isiyoyako. Kagua nipe mrejesho.
Ahahahahaha! Si ajabu na wewe unajiita Great Thinker! Ahahahahahah! Kuwa nyumbu wa Ufipa raha sana!!!
 
Kamanda punguza munkari usije ukapasuka bure, mbowe ana wanasheria wanaomtetea, watahoji mahakamani pindi ushahidi utakapoanza kutolewa.
Hao kina Mnyika wakae watulie wasije wakaingia kwenye hatia ya kuingilia mwenendo wa kesi iliyoko mahakamani.
Hapa kwetu unaamini kuna mahakama katika maana ya mahakama? Kinachoitwa mahakama, ukweli ni idara ya CCM na Serikali. Ndiyo maana Magufuli alisema Mdude awekwe ndani, akawekwa; amekuja Samia, akasema Mdude aachiwe, akaachiwa.

Nchi yetu inapita kwenye giza nene la kukosa uongozi wenye dhamira njema kwa Taifa.
 
Haoa kwetu unaamini kuna mahakama katika maana ya mahakama? Kinachoitwa mahakama, ukweli ni idara ya CCM na Serikali. Ndiyo maana Magufuli alisema Mdude awekwe ndani, akawekwa; amekuja Samia, akasema Mdude aachiwe, akaachiwa.

Nchi yetu inapita kwenye giza nene la kukosa uongozi wenye dhamira njema kwa Taifa.
Hata si tii neno hapo.
 
Huo ni ushahidi sasa unataka uwekwe kwenye charge sheet. Subiri ushahidi uanze kutolewa ndiyo hayo ya solid evidence utayasikia. Umbumbumbu unawasumbua sana nyinyi wanasaccos.
Report ya TWAWEZA ilisema, CCM inapendwa na watu wasio na elimu, watu wajinga. Bila shaka, wewe ni miongoni.

Nitajie japo mtu mmoja tu ambaye ni CCM damu damu ambaye mwenye mawazo huru, na ambaye kwa matendo na kauli zake anaonekana ni super intelligent.
 
Haoa kwetu unaamini kuna mahakama katika maana ya mahakama? Kinachoitwa mahakama, ukweli ni idara ya CCM na Serikali.
Unajua kuwa zipo kesi ambazo chadema imewahi kushinda kwenye hizo hizo mahakama unazozidharau?
 
Mnyika ana busara gani au akili gani ya kuhoji maamuzi ya wasomi wakati yeye shule ilimshinda!?
Hivi ndani ya CCM, ni nani unaweza kumtaja ni msomi katika tafsiri ya mtu msomi? Au usomi kwako ni kile kikaratasi ambacho watu wengine wanapata hata kwa kukariri.
 
Wewe pia ficha ujinga wako, mtu anapotuhumiwa kwa makosa fulani kisha akawekwa rumande, haimaanishi kuwa ushahidi wote umekamilika, anakuwa ndani huku ushahidi zaidi ukiendelea kukusanywa siku hadi siku.

Sasa unapokuja na hoja ya kuhutaji sold evidence wakati Kasi bado inatakiwa kusikilizwa,unaonekana mjinga tu.
Unakuwa mpumba.vu kama unamshtaki mtu kwa kosa ambalo hata wewe mwenyewe hujui kiwango cha uhalifu. Wapumb.avu wa namna wanapatikana ndani ya nchi yetu tu, na hasa ndani ya CCM maana huko hata TWAWEZA walisema, ndiko walikojaa.
 
Back
Top Bottom