Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Niulize baada ya kushindwa kujibu kwa hoja mmechagua silaha yenu ya mwisho bambika kesi ya juu kabisa ya kiwango cha lami uga..idNyumbu katika ubora wake! Kama hujui uliza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niulize baada ya kushindwa kujibu kwa hoja mmechagua silaha yenu ya mwisho bambika kesi ya juu kabisa ya kiwango cha lami uga..idNyumbu katika ubora wake! Kama hujui uliza.
Mnyika ana busara gani au akili gani ya kuhoji maamuzi ya wasomi wakati yeye shule ilimshinda!?Kuna masuala ya ajabu sana huwa yanachanganya sana. Maana mwanasiasa ambaye ni katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani kulalama huku akiwa hana hoja zenye mashiko ni kukosa busara.
Mnyika analalama kuwa Charge sheet ambayo ameshitakiwa nayo Mbowe haijataja figure kamili ya pesa ambazo Mbowe alizifadhili ili ugaidi kufanyika. Hivyo rais amfutie mashitak. Je, hoja kama kama hii ina mashiko? Huku ni kukuosa uelewa wa mambo.
Kutotaja kiasi cha pesa hakuondoi kosa la mshitakiwa kama Charge sheet inaeleza kwa ufahasa kifungu kilichovunjwa. Labda kama kungekuwa na mkankanyiko juu ya kosa husika na kiasi gani cha pesa kilichotumika.
My take: Viongozi wa Chadema wamekosa busara, hivyo wasilete papara kushughulikia masuala ya kisheria.
Wewe pia ficha ujinga wako, mtu anapotuhumiwa kwa makosa fulani kisha akawekwa rumande, haimaanishi kuwa ushahidi wote umekamilika, anakuwa ndani huku ushahidi zaidi ukiendelea kukusanywa siku hadi siku.Idugunde
Ficha kidogo ujinga wako kama hujui uliza
Tunahtaji solid evidence ,amefadhiri shingapi zilienda kwanan nani alipokea alilipwa
Mnatuboa sana
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Duuh..! Avatar yako ni Vessel (chombo), ila kwa huu utumbo ulioandika hapa nina wasiwasi huenda ni chombo cha kujitawazia kwenye vyoo vya stendi za mikoani.Niulize baada ya kushindwa kujibu kwa hoja mmechagua silaha yenu ya mwisho bambika kesi ya juu kabisa ya kiwango cha lami uga..id
Wewe nawe unazungumzia busara! Maajabu makubwa. Mtu ambaye huna busara, huna utu, huna uelewa, mnafiki, mwongo, ambaye hujawahi kuleta mada yoyote inayoashiria uhuru wa akili, utamjuaje mwenye busara?Kuna masuala ya ajabu sana huwa yanachanganya sana. Maana mwanasiasa ambaye ni katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani kulalama huku akiwa hana hoja zenye mashiko ni kukosa busara.
Mnyika analalama kuwa Charge sheet ambayo ameshitakiwa nayo Mbowe haijataja figure kamili ya pesa ambazo Mbowe alizifadhili ili ugaidi kufanyika. Hivyo rais amfutie mashitak. Je, hoja kama kama hii ina mashiko? Huku ni kukuosa uelewa wa mambo.
Kutotaja kiasi cha pesa hakuondoi kosa la mshitakiwa kama Charge sheet inaeleza kwa ufahasa kifungu kilichovunjwa. Labda kama kungekuwa na mkankanyiko juu ya kosa husika na kiasi gani cha pesa kilichotumika.
My take: Viongozi wa Chadema wamekosa busara, hivyo wasilete papara kushughulikia masuala ya kisheria.
Kwani ile akili ya kuporwa pale getini ulishaifuata, kama tayari yawezakuwa umeridishiwa isiyoyako. Kagua nipe mrejesho.Mnyika ana busara gani au akili gani ya kuhoji maamuzi ya wasomi wakati yeye shule ilimshinda!?
Kwa unafiki ulio nao, ni hilo tu la figure ndilo ulilolisikia?Kwani kutotaja figure ya pesa alizofadhili ndio hoja?
Huyu hana akili. Huwezi kumshitaki mtu aliyekuibia bila ya kutaja kilichoibiwa, kiasi, thamani, mahali na wakati.Idugunde
Ficha kidogo ujinga wako kama hujui uliza
Tunahtaji solid evidence ,amefadhiri shingapi zilienda kwanan nani alipokea alilipwa
Mnatuboa sana
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Ahahahahaha! Si ajabu na wewe unajiita Great Thinker! Ahahahahahah! Kuwa nyumbu wa Ufipa raha sana!!!Kwani ile akili ya kuporwa pale getini ulishaifuata, kama tayari yawezakuwa umeridishiwa isiyoyako. Kagua nipe mrejesho.
Acheni ugaidi ndiyo solution!Niulize baada ya kushindwa kujibu kwa hoja mmechagua silaha yenu ya mwisho bambika kesi ya juu kabisa ya kiwango cha lami uga..id
Acheni uharamia na ubambiki ndio dawa ya matatizo yetu na mruhusu uhuru wa maoni ikiwa na kupatikana katiba mpya.Acheni ugaidi ndiyo solution!
Hapa kwetu unaamini kuna mahakama katika maana ya mahakama? Kinachoitwa mahakama, ukweli ni idara ya CCM na Serikali. Ndiyo maana Magufuli alisema Mdude awekwe ndani, akawekwa; amekuja Samia, akasema Mdude aachiwe, akaachiwa.Kamanda punguza munkari usije ukapasuka bure, mbowe ana wanasheria wanaomtetea, watahoji mahakamani pindi ushahidi utakapoanza kutolewa.
Hao kina Mnyika wakae watulie wasije wakaingia kwenye hatia ya kuingilia mwenendo wa kesi iliyoko mahakamani.
Hata si tii neno hapo.Haoa kwetu unaamini kuna mahakama katika maana ya mahakama? Kinachoitwa mahakama, ukweli ni idara ya CCM na Serikali. Ndiyo maana Magufuli alisema Mdude awekwe ndani, akawekwa; amekuja Samia, akasema Mdude aachiwe, akaachiwa.
Nchi yetu inapita kwenye giza nene la kukosa uongozi wenye dhamira njema kwa Taifa.
Report ya TWAWEZA ilisema, CCM inapendwa na watu wasio na elimu, watu wajinga. Bila shaka, wewe ni miongoni.Huo ni ushahidi sasa unataka uwekwe kwenye charge sheet. Subiri ushahidi uanze kutolewa ndiyo hayo ya solid evidence utayasikia. Umbumbumbu unawasumbua sana nyinyi wanasaccos.
Unajua kuwa zipo kesi ambazo chadema imewahi kushinda kwenye hizo hizo mahakama unazozidharau?Haoa kwetu unaamini kuna mahakama katika maana ya mahakama? Kinachoitwa mahakama, ukweli ni idara ya CCM na Serikali.
Hivi ndani ya CCM, ni nani unaweza kumtaja ni msomi katika tafsiri ya mtu msomi? Au usomi kwako ni kile kikaratasi ambacho watu wengine wanapata hata kwa kukariri.Mnyika ana busara gani au akili gani ya kuhoji maamuzi ya wasomi wakati yeye shule ilimshinda!?
Unakuwa mpumba.vu kama unamshtaki mtu kwa kosa ambalo hata wewe mwenyewe hujui kiwango cha uhalifu. Wapumb.avu wa namna wanapatikana ndani ya nchi yetu tu, na hasa ndani ya CCM maana huko hata TWAWEZA walisema, ndiko walikojaa.Wewe pia ficha ujinga wako, mtu anapotuhumiwa kwa makosa fulani kisha akawekwa rumande, haimaanishi kuwa ushahidi wote umekamilika, anakuwa ndani huku ushahidi zaidi ukiendelea kukusanywa siku hadi siku.
Sasa unapokuja na hoja ya kuhutaji sold evidence wakati Kasi bado inatakiwa kusikilizwa,unaonekana mjinga tu.
Huo siyo uthibitisho kuwa tuna mahakama huru.Unajua kuwa zipo kesi ambazo chadema imewahi kushinda kwenye hizo hizo mahakama unazozidharau?
Basi tuachie hapo!Huo siyo uthibitisho kuwa tuna mahakama huru.