MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
umekunywa chai kwanza mwali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Changudoa WA mzoga WA chatoChato bado inakubutua! Jifungue tu kwa kweli
Changudoa WA mzoga WA chato
Biashsra ishaisha sasa ni asante mama, madai ya Katiba mpya sasa yatabakia kuwa ni ndotoKatibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema Viongozi na wanachama wao waliokimbia nchi kwa sababu za kisiasa na kiusalama sasa warudi nyumbani baada ya Serikali kuwa imetoa tangazo bungeni.
Mnyika amesema suala la viongozi hao wakimbizi lilikuwa moja ya ajenda ya Maridhiano.
Mnyika amewataja Tundu Lissu, Lema na Wenje kuwa ni miongoni mwa walio nje ya nchi na Chama kitawaandikia rasmi kuwapa utaratibu wa kurejea nyumbani
Chanzo: ITV habari
Muhuni huyo aliyekuzaaTaarifa inafikirisha ikizingatiwa kuwa karibu viongozi wote hao walikuwa wagombea wa nafasi mbalimbali za kuchaguliwa na walifanya kampeni zao kwa usalama.
Warudi tu hawatakuwa na jipya kama hawataweka bayana ni kwa namna gani walitishiwa usalama wao, na nani, kwa sababu gani.
MAAMUZI YA KIPUUZI NA UHUNI
Ahhh, soma na uelewe mantiki ya taarifa na maana ya maridhiano! Au unataka kumfufua aliyewatishia akujibu?Taarifa inafikirisha ikizingatiwa kuwa karibu viongozi wote hao walikuwa wagombea wa nafasi mbalimbali za kuchaguliwa na walifanya kampeni zao kwa usalama.
Warudi tu hawatakuwa na jipya kama hawataweka bayana ni kwa namna gani walitishiwa usalama wao, na nani, kwa sababu gani.
MAAMUZI YA KIPUUZI NA UHUNI