Mnyika: Wajumbe watakaopiga kura kwenye Mkutano Mkuu ni wale waliochaguliwa kipindi hiki cha Uchaguzi, wa 2019 siyo halali

Lakini kwanini Lissu hakukaa chini na viongozi wake wengine waone hali ilivyo,maana anaenda kuanguka kwenye uchaguzi wa Chama,akianguka ndiyo anarudi Ubelgiji.
 
Wahafidhina ndani ya CCM hawataki Maridhiano,Wala Mbowe asidhani kama kutakuwa na Serikali ya mseto hapa Bara kama alivyoahidiwa kwa maneno matupu.
Na huyo Mama Abdul akiendelea na Michezo yake hii ajue na yeye utaratibu anaoutaka wa fomu Moja utapingwa vikali.
Na akilazimisha ataondoka yeye.
Wajumbe wa Bara hawana maana,acha alewe Sifa tu.

MBOWE must go.
 
Sijaelewa, Aliyeelewa anifafanulie!
 
Atwambie na sababu za baadhi ya maeneo kutofanya chaguzi.
Hiki chama awamu hii Acha kife tu, hawawezi kutufanya wajinga muda wote
 
Why ? Ndio Katiba inasema hivyo ? Kama ndivyo sawa ila nadhani ingekuwa ni busara kurekebisha hicho kipengele ili kisilete sintofahamu...

Justice must not only be done, but must also be seen to be done”.
 
kw
Lakini kwanini Lissu hakukaa chini na viongozi wake wengine waone hali ilivyo,maana anaenda kuanguka kwenye uchaguzi wa Chama,akianguka ndiyo anarudi Ubelgiji.

Kwa sababu ya mkoa wa Njombe kutokupiga kura?
 
Kwa utaratibu huu, TAL na Heche, wakaanzishe chama chao!
Vinginevyo wanakosa bara na Pwani!
Sure team lissu haitoboi kamwe, waanzishe tu chama kipya wamwachie hayatollah mbowe chama chake
 
Atwambie na sababu za baadhi ya maeneo kutofanya chaguzi.
Hiki chama awamu hii Acha kife tu, hawawezi kutufanya wajinga muda wote
KWANI HAMJUI KUWA MLIKUWA WAJINGA TOKA ZAMANI MNAGUNDUA LEO? HIYO MALI YA MTU NA HAMUACHII MTU BORA KIMFIE MIKONONI KULIKO KUMPA MNYATURU AKATENGENEZE NAYE CHA KWAKE KAMA ANAONA RAHISI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…