Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Kama mmeshindwa kuitoa ccm kwa utaratibu uhalali gn mtuweza kwa mbowe?Katiba ingeruhusu wanachadema wote tupige kura mbowe asingepata hata 10%!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mmeshindwa kuitoa ccm kwa utaratibu uhalali gn mtuweza kwa mbowe?Katiba ingeruhusu wanachadema wote tupige kura mbowe asingepata hata 10%!.
sn ndio ni Mkuu?Ukweli kaharibu sn, sijui nini kimempata asee heshima yote imekata
Sijakuelewa, wapi nimeandika vibaya?sn ndio ni Mkuu?
Mbona maneno mengine huwa unaandika vizuri tu?
Nini kinazuia Mkoa wa Njombe usifanye uchaguzi?.Mfano mkoa wa Njombe haujafanya Uchaguzi wa mkoa hivyo Wajumbe wa 2019 wamekosa Uhalali wa kushiriki mkutano mkuu
Aendelee kula pesa za ushirikaMbowe mjinga anataka awe m/kiti tena ili afanye yapi ambayo hakuyafanya?
Usi mpe kura, haina haja ya kumuita mjinga ili haki wese ni mpiga kuraMbowe mjinga anataka awe m/kiti tena ili afanye yapi ambayo hakuyafanya?
Kwa Sasa atapata 90%
Sijaelewa, Aliyeelewa anifafanulie!Katibu mkuu wa CHADEMA mh John Mnyika anesema Wajumbe halali watakaopiga Kura Kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa Taifa na makamu wake ni wale waliochaguliwa kipindi hiki cha Uchaguzi kabla ya huo mkutano mkuu wa 21 January
Mfano mkoa wa Njombe haujafanya Uchaguzi wa mkoa hivyo Wajumbe wa 2019 wamekosa Uhalali wa kushiriki mkutano mkuu
Ahsanteni Sana
Nyama mtazikuta chini 😂
Atwambie na sababu za baadhi ya maeneo kutofanya chaguzi.Katibu mkuu wa CHADEMA mh John Mnyika anesema Wajumbe halali watakaopiga Kura Kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa Taifa na makamu wake ni wale waliochaguliwa kipindi hiki cha Uchaguzi kabla ya huo mkutano mkuu wa 21 January
Mfano mkoa wa Njombe haujafanya Uchaguzi wa mkoa hivyo Wajumbe wa 2019 wamekosa Uhalali wa kushiriki mkutano mkuu
Ahsanteni Sana
Nyama mtazikuta chini 😂
Why ? Ndio Katiba inasema hivyo ? Kama ndivyo sawa ila nadhani ingekuwa ni busara kurekebisha hicho kipengele ili kisilete sintofahamu...Katibu mkuu wa CHADEMA mh John Mnyika anesema Wajumbe halali watakaopiga Kura Kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa Taifa na makamu wake ni wale waliochaguliwa kipindi hiki cha Uchaguzi kabla ya huo mkutano mkuu wa 21 January
Mfano mkoa wa Njombe haujafanya Uchaguzi wa mkoa hivyo Wajumbe wa 2019 wamekosa Uhalali wa kushiriki mkutano mkuu
Ahsanteni Sana
Nyama mtazikuta chini 😂
Lakini kwanini Lissu hakukaa chini na viongozi wake wengine waone hali ilivyo,maana anaenda kuanguka kwenye uchaguzi wa Chama,akianguka ndiyo anarudi Ubelgiji.
Kila mmoja Mbowe na Lissu kakwepa nafasi ya kugombea urais wa nchi ila kwenye uenyekiti wa chama kila mmoja anaumezea mate.Inaonekana Uenyekiti una hela fulani za bure
Sure team lissu haitoboi kamwe, waanzishe tu chama kipya wamwachie hayatollah mbowe chama chakeKwa utaratibu huu, TAL na Heche, wakaanzishe chama chao!
Vinginevyo wanakosa bara na Pwani!
KWANI HAMJUI KUWA MLIKUWA WAJINGA TOKA ZAMANI MNAGUNDUA LEO? HIYO MALI YA MTU NA HAMUACHII MTU BORA KIMFIE MIKONONI KULIKO KUMPA MNYATURU AKATENGENEZE NAYE CHA KWAKE KAMA ANAONA RAHISIAtwambie na sababu za baadhi ya maeneo kutofanya chaguzi.
Hiki chama awamu hii Acha kife tu, hawawezi kutufanya wajinga muda wote
Nyumbani Kwa mchungaji MsigwaNini kinazuia Mkoa wa Njombe usifanye uchaguzi?.