Mnyika: Wajumbe watakaopiga kura kwenye Mkutano Mkuu ni wale waliochaguliwa kipindi hiki cha Uchaguzi, wa 2019 siyo halali

Mbowe mjinga anataka awe m/kiti tena ili afanye yapi ambayo hakuyafanya?
 
sasa kama katiba yao inasema hivyo mnataka waende kinyume na katiba halafu muanze kuwasema vibaya?
Umesema vema mkuu!
Katibu Mkuu, ametoa Hilo Tangazo kwa kuzingatia Katiba? Yes! Sasa milio ya nini?
 
Kwa utaratibu huu, TAL na Heche, wakaanzishe chama chao!
Vinginevyo wanakosa bara na Pwani!
Mbona hilo liko wazi, na ni suala la kikatiba? Yaani hapo ni sawa na kusema Lema asiingingie bungeni kipindi hiki kwa kuwa hajachaguliwa kuwa mbunge katika uchaguzi uliofanyika mara ya mwisho. Hilo nalo lina utata? Au mnataka vitu vilivyo dhahiri vionekane kuwa vina utata?
 
Hiki ni pigo jingine jipya kwa jamaa wa clubhouse!!
 
Tusubiri uchaguzi uishe halafu tuone Mbowe ataingia kwa gia gani ambapo WANACHADEMA watakuwa wanamsikiliza.

Ishu siyo kwamba watu wanamtaka Lisu kisa kumkomoa Mbowe, la hasha. Mbowe kachuja tu automatically! Hata akigombea mwanachama tofauti na Lisu bado atakubalika tofauti na Mbowe.

Kwani Mbowe hajifanyii self assessment?
 
Why ? Ndio Katiba inasema hivyo ? Kama ndivyo sawa ila nadhani ingekuwa ni busara kurekebisha hicho kipengele ili kisilete sintofahamu...

Justice must not only be done, but must also be seen to be done”.
je wewe unapiga kura ndani ya CDM
 
Kama viongozi wa Njombe waliochaguliwa mwaka 2019 walikuwa wanaendelea na majukumu yao basi wana haki ya kupiga kura.
 
Mambo ya fisiem haya walahi
 
Ubaya haja lijua hilo bado ana ng'ang'ania tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…