Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Mbowe mjinga anataka awe m/kiti tena ili afanye yapi ambayo hakuyafanya?
Musukuma atishia kuachilia meseji za Fedha alizotumiwa Mbowe kutoka CCM ili aendeshe chama, asema mchungaji Msigwa ni shahidi!
Mbombo ngafu Kumbe mbunge wa Geita Vijijini mh Msukuma anazo meseji za miamala ya Fedha alizokuwa anatumiwa Mbowe kuendesha Shughuli za Chadema kama chama rafiki Msukuma kasema mchungaji Msigwa akiridhia anaziachilia mitandaoni kwani ndiye shahidi Mjadala Ukurasani X Nyama mtazikuta chini 😂😂