johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Katibu mkuu wa CHADEMA mh John Mnyika anesema Wajumbe halali watakaopiga Kura Kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa Taifa na makamu wake ni wale waliochaguliwa kipindi hiki cha Uchaguzi kabla ya huo mkutano mkuu wa 21 January
Mfano mkoa wa Njombe haujafanya Uchaguzi wa mkoa hivyo Wajumbe wa 2019 wamekosa Uhalali wa kushiriki mkutano mkuu
Ahsanteni Sana
Nyama mtazikuta chini 😂
Mfano mkoa wa Njombe haujafanya Uchaguzi wa mkoa hivyo Wajumbe wa 2019 wamekosa Uhalali wa kushiriki mkutano mkuu
Ahsanteni Sana
Nyama mtazikuta chini 😂