USA na Israeli imeua top leaders wa IRAN kusababisha hasara ya kiuchumi, kuangamiza raia ma miundo mbinu, lkn bado wanakaa kwenye meza ya Mazungumzo.
Wanaharakati uchwara wako kenya na USA, kazi yao kutweet tu eti watanzania andamaneni, Sijui lisu kaza, wao walishindwa kukaza walipo kua hapa tena walikua nje uraiani, wamekimbilia ulaya, wanalipiwa kila kitu, ila wanawaona CHADEMA walio kaza mpaka hapa, ni waenge.
Sisi tu wananchi zaidi ya milion 40, Tulikaza kwa siku 2 tu baada ya kula vyuma vya kutosha tukaona cha kufia nn, tukaufyata mpaka leo, ila lisu ndo afie Ukonga?
Lisu amekaza kwa Mwaka mzima sasa, Ila kuna ******* wako USA wanaona ni kitu kirahisi.
Me nawaombea sana CHADEMA Mungu awape ujasiri, kwa hatua yeyote watakayo kua wamefikia, naamini haitakua kama before mo29.
Hata sasa serikali kuna namna imeswicth zile zarau za ******* ******* za kina chalamila zimepungua.
Wengine hatuna vyama vyovyote tunasimama na wapigania haki kokote walipo.