SI KWELI Mnyika: Wanaharakati waanzishe chama chao wasitutegemee CHADEMA

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Uongo tu. Mnyika hawezi kusema haya maneno maana anajua umuhimu wa hao wana harakati kwa chama chake.

Amandla...
Kwa kweli!

Nasita kuamini kama kweli Mnyika kasema hayo.

Pia, sijawahi kusikia popote pale ambapo mtu anasema Lissu aendelee kukaa gerezani.

Mtu hana kosa lolote, sasa aendelee kukaa gerezani kwa sababu gani ilhali hapaswi hata kuwepo humo kwa sekunde moja!

Hii ni wrongful incarceration na Lissu anapaswa kuachiwa bila masharti yoyote yale na anastahili fidia kwa muda wote huu ambao wamemfunga.
 
Hi taarifa imetokea Lumumba
 
Kuna walakini kama tukifukua makaburi
 
Mnyika kasema kweli haya?

Nilishasema anayelazimisha Lissu abaki gerezani, aende yeye gerezani.

sidhani kama kuna mtu anayelazimisha Tundu Lisu abakie jela, kwa maoni yangu uamuzi ni wake yeye Tundu Lisu kwa maana yeye ndiye anayeteseka huko jela pamoja na mke na watoto wake kumkosa, hivyo atakuwa ni mtu wa ajabu (Tundu Lisu) kama anabakia jela kwa sababu binadamu xyz anayependa abakie huko.

nafikiri kubakia jela ni uamuzi wake yeye mwenyewe Tundu Lisu, kama ni kweli wasemavyo kwamba ana option ya kutoka au kubakia kulingana na dili analopewa halafu anakataa, binafsi siwezi kukubali mateso ya namna hiyo never ever, ningekuchukuwa dili la kwanza na kurudi kwa mke wangu fasta lkn to each his own ...
 
Suala kubwa la kifalsafa si Lissu kubaki au kutobaki jela.

Suala kubwa la kifalsafa ni kukubali au kutokubali mazungumzo.
 
Ingawa siamini hii kauli inayosemwa ni ya Mnyika ila Narudia tena.

Chadema inaendelea kupoteza nguvu ya kufanya maamuzi yake, hasa yasiyo wapendeza wanaharakati, hata kama yana maslahi kwao na kwa wananchi.

Wanaotaka Lissu aachiwe huru kwa ushindi wa kesi, wanategemea mahakama ya nchi gani itoe haki hapo?

NI kwa sheria zipi Lissu yupo ndani kwa mwaka sasa?

Ni sheria ipi inawazuia mawakili na viongozi wa Chadema kumuona huko mahabusu?

Kwamba watu hawaoni kinachomweka Lissu ndani sio sheria?
 
Mnyika hawezi kuongea utumbo kama huu

Hili no Chawa la mbogamboga linataka kuzua taruki
 
Kama huyu Zack Abdul ndio yule ambaye yuko kwenye ule mtandao mwingine kwa jina hili hili, basi hii habari ni ya kupuuza, pia yeye mwenyewe ni wa kupuuza...huyu ni aina ya watu wa hovyo kabisa asiye na mchango wowote chanya kwenye jamii
 
Maa konyo...
Ana taka kutuua njaa😁
 
Childish propaganda at best!
 
USA na Israeli imeua top leaders wa IRAN kusababisha hasara ya kiuchumi, kuangamiza raia ma miundo mbinu, lkn bado wanakaa kwenye meza ya Mazungumzo.
Mkuu una akili nyingi, nakubaliana na kila mstari wa andiko lako. 🫶
 
Tatizo maridhiano ya sisiemu tija yake ni ipi ?

Nitaona maridhiano kama kweli CCM watasikia kilio cha wananchi

1. Constitution reforms rais asiwe juu ya sheria na katiba iweke wazi kuwa Rais anaweza kushitqkiwa akifanya blunders

2. National Resources zilindwe kikatiba
Sio Rais tu anaamua kufanya lolote

3. Nafasi ya Tanganyika kwenye Muungano ni ipi ?

Kwa mfano kama tunasema Tanzania ni nchi moja- basi nikishusha kontena ZNZ au DSM gharama iwe ni unique. Raia wa Zanzibar ananufaikq na muungano na ananufaikq na serikali ya Zanzibar .

Kwa mfano Samia anayo nafasi ya kuwa Rais wa znz. Na muungano ila Nchimbi hawezi kuwa Rais wa Zanzibar kwa namna yoyote ile

Je nafasi ya Tanganyika au Serikali ya Tanganyika kwenye muungano ni ip!? CCM lazima mkubadiliko ya tabia, vijana wana reason sana wataendeleq kuwasumbua na hamtowaweza- eneo hili liwe clear

Kama maridhiano maana yake ni Chadema wawe submissive kwa CCM bila kuweka haya mambo sawa ni ujinga

TAL atoke gerezani sio kwa sababu ya maridhiano ya CCM - atoke gerezani kwa sababu TAL Hana kosa , na badala yake wampeleke Samia Ukonga-

Ndugu watanzania; mkisikia Mcanda kamfungulia Samia kesi mjue ni mimi

Naapa kwa Usiku na Giza liingiapo , Samia akitoka madarakani tu kama bado atakuwa hai basi nitamfungulia kesi kwa sheria za kimataifa na popote atakapokwenda nje ya nchi atakamatwa. Hii ninadhiri yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…