johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Katibu mkuu wa CHADEMA mh J J Mnyika amehojiwa na mtangazaji Waziri Khamsin wa BBC kuhusiana na namna chake kilivyopokea mahojiano ya BBC na Rais Samia.
Mnyika amesema sheria ya vyama vya siasa inatoa ruhusa kwa vyama kufanya mikutano ya hadhara.
Pia Mnyika amedai kuwa katiba ni takwa la wananchi na kwamba wananchi wanahitaji katiba sasa.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia
My take; Wananchi walisema lini kwamba wanataka katiba sasa?!