Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Comment yako sio hoja ya mleta mada. Hoja ya mleta mada ni kwamba ni lini wananchi walitaka katiba? Na mimi nimemjibu kwa kumshangaa na kumwuliza hawakumbuki wajumbe wa Bunge la katiba nikamtajia hadi majina yao na kumkumbusha kuwa rasimu ya Warioba haikuwa rasimu ya hawala yake ilikuwa ni rasimu iliyotokana na wananchi. Vipi na wewe hujanielewa?
Hakuna referendum yoyote iliyofanyika kuwauliza wananchi whether or not wanataka katiba mpya. Kilichofanyika ni Tume ya Judge Warioba kuiomba ile fraction ndogo ya wananchi waliyoweza kuifikia iseme kile ilichotaka katiba mpya ikibebe. Even if, by inference, hiyo fraction ndogo ya wananchi ilisema inataka katiba mpya, bado haifai kuifanya kuwa ndiyo kauli ya wananchi takribani 60 million au kauli ya angalau majority ya wananchi wa Tanzania!