Mnyika: Wananchi wanahitaji Katiba Mpya sasa

Mnyika: Wananchi wanahitaji Katiba Mpya sasa

Katibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika amehojiwa na mtangazaji Waziri Khamsin wa BBC kuhusiana na namna chake kilivyopokea mahojiano ya BBC na Rais Samia.

Mnyika amesema sheria ya vyama vya siasa inatoa ruhusa kwa vyama kufanya mikutano ya hadhara.
Pia Mnyika amedai kuwa katiba ni takwa la wananchi na kwamba wananchi wanahitaji katiba sasa.

Source: BBC Dira ya Dunia

My take; Wananchi walisema lini kwamba wanataka katiba sasa?!
Nakumbuka kuna mtu kahukumiwa kwa ugaidi siku za karibuni nadhani ni associate wa mzee wa faru john.
 
Unaweza ukamjibu kwa lugha yenye staha na ukaeleweka pengine vizuri zaidi.

Nijuavyo mimi, mwaka 2015 CHADEMA walipiga pesa wakasepa. Wanataka liitishwe Bunge la Katiba jingine wapige pesa kisha wasepe tena?
Ufipa ni matapeli wa siasa!
 
Unaweza ukamjibu kwa lugha yenye staha na ukaeleweka pengine vizuri zaidi.

Nijuavyo mimi, mwaka 2015 CHADEMA walipiga pesa wakasepa. Wanataka liitishwe Bunge la Katiba jingine wapige pesa kisha wasepe tena?
Comment yako sio hoja ya mleta mada. Hoja ya mleta mada ni kwamba ni lini wananchi walitaka katiba? Na mimi nimemjibu kwa kumshangaa na kumwuliza hawakumbuki wajumbe wa Bunge la katiba nikamtajia hadi majina yao na kumkumbusha kuwa rasimu ya Warioba haikuwa rasimu ya hawala yake ilikuwa ni rasimu iliyotokana na wananchi. Vipi na wewe hujanielewa?
 
Wananchi tunataka katiba

Ushahidi ni huu ufuatao:

1)Tulishatoa maoni ya katiba
2)Tulipita kura kupitisha rasmu
3)Bunge la katiba lilifika hadi nusu

Documents zetu zipo,kura zetu zipo,hivi wewe na Suluhu mnaongea mavi gani hasa?
Unaelewa mchakato wa kudai katiba lakini?
 
Kwani wewe ni taahira mpaka usijue ni lini wananchi walisema wanataka katiba? Humjui Jaji Warioba, Samia Suluhu, Pole pole na wengineo? Bunge la katiba lilikuwa bunge la bibi yako? Rasimu ya Warioba ilikuwa rasimu ya hawala yako?
Asante mkuu. Aliesema mnitag kuhusu lini wananchi walihitaji katiba .Jibu hilo hapo KateMiddleton ,matako yako,mpaka mnakera kuturudisha nyuma kwamba nyie hamna uhitaji wa katiba mpya.

Bahati mbaya hamjui wabunge kujilimbikizia mishahara minono sababu ya katiba mbovu iliyopo. Spiker kwenda kutibiwa kwa mamilioni yetu nje sababu ya katiba mbovu iliyopo. Mishahara wapo waalimu wanapata laki 4 kwa mwezi huku akisubiri kiinua mgongo cha milioni 60 baada ya miaka 50 ya utumishi wake. Huku mbunge akilipwa mshahara wa milioni 12 kwa mwezi na malupulupu kibao,huku akisubiri kiinua mgongo mamilioni ndani ya miaka mitano tu ya bila jasho. Hayo yote sababu ya katiba mbovu iliyopo.

Mijitu inalala na kuota kesho tuwashukie wananchi na tozo za ajabu,ksbb wenyewe hawaguswi nazo. Umasikini wako sababu ya katiba mbovu iliyopo. Keki ya Taifa inaliwa na wachache huku wengine wakiambiwa wafunge mikanda sababu ya katiba mbovu iliyopo. Waziri anaweza kusema chochote anachojisikia kama hamia Burundi na asiwajibishwe sababu ya katiba mbovu iliyopo.

Yapo mengi mengi. Tuseme mara ngapi kwamba katiba iliyopo ni mbovu ndio maana viongozi wanatuendesha watakavyo. Kuna vijitu hamuyaoni hayo
 
Comment yako sio hoja ya mleta mada. Hoja ya mleta mada ni kwamba ni lini wananchi walitaka katiba? Na mimi nimemjibu kwa kumshangaa na kumwuliza hawakumbuki wajumbe wa Bunge la katiba nikamtajia hadi majina yao na kumkumbusha kuwa rasimu ya Warioba haikuwa rasimu ya hawala yake ilikuwa ni rasimu iliyotokana na wananchi. Vipi na wewe hujanielewa?
Hao wananchi huyo Warioba na akina Polepole waliwahoji wapi?

Tupe sample size.
 
Katibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika amehojiwa na mtangazaji Waziri Khamsin wa BBC kuhusiana na namna chake kilivyopokea mahojiano ya BBC na Rais Samia.

Mnyika amesema sheria ya vyama vya siasa inatoa ruhusa kwa vyama kufanya mikutano ya hadhara.
Pia Mnyika amedai kuwa katiba ni takwa la wananchi na kwamba wananchi wanahitaji katiba sasa.

Source: BBC Dira ya Dunia

My take; Wananchi walisema lini kwamba wanataka katiba sasa?!
Kwani jomba ww hutak katiba? Mm na uccm wangu nahitaji katiba. Ww n nani hata usiitake hiyo katiba? Tunataka katiba itakayowawajibisha viongoz wez na wala rushwaa hataa baada ya kustaaafu
 
Akija na ushahidi wa wananchi kudai katiba naomba unitag
Hivi zile bilioni 3 zilizotokana na kodi za wananchi huzionei hata huruma? Zilitumika na tume kukusanya maoni nchi nzima, hivyo yale maoni yalikuwa ya kazi gani kama sio mchakato wa katiba mpya? Pathetic!
I feel very sorry for you!
 
Katibu mkuu wa CHADEMA mh J J Mnyika amehojiwa na mtangazaji Waziri Khamsin wa BBC kuhusiana na namna chake kilivyopokea mahojiano ya BBC na Rais Samia.

Mnyika amesema sheria ya vyama vya siasa inatoa ruhusa kwa vyama kufanya mikutano ya hadhara.

Pia Mnyika amedai kuwa katiba ni takwa la wananchi na kwamba wananchi wanahitaji katiba sasa.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia

My take; Wananchi walisema lini kwamba wanataka katiba sasa?!
Wewe unajuwa wananchi hao walisema HAWAITAKI katiba lini?
 
Wanaouliza kwa nini Mbowe amekamatwa sasa na si vinginevyo wanasahau kuwa Mbowe, Lema, Meya wa zamani Ubungo Boniface walikamatwa mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa na kabla Rais hajaapishwa kwa kuchochea maandamano yasiyo na kikomo kupinga matokeo. Mambosasa alihojiwa na vituo vya ITV na TBC na kutoa madai hayo hayo ya ugaidi.
 
Katibu mkuu wa CHADEMA mh J J Mnyika amehojiwa na mtangazaji Waziri Khamsin wa BBC kuhusiana na namna chake kilivyopokea mahojiano ya BBC na Rais Samia.

Mnyika amesema sheria ya vyama vya siasa inatoa ruhusa kwa vyama kufanya mikutano ya hadhara.

Pia Mnyika amedai kuwa katiba ni takwa la wananchi na kwamba wananchi wanahitaji katiba sasa.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia

My take; Wananchi walisema lini kwamba wanataka katiba sasa?!

..Wananchi walisema wanataka Katiba Mpya walipohojiwa na Tume ya Jaji Warioba ambayo ilitembea nchi nzima.

Back
Top Bottom