johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Vyote!Mkuu sasa hiyo ni your take ama ni swali?
tupe linki wengine hatuna simu zenye fmKatibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika amehojiwa na mtangazaji Waziri Khamsin wa BBC kuhusiana na namna chake kilivyopokea mahojiano ya BBC na Rais Samia.
Mnyika amesema sheria ya vyama vya siasa inatoa ruhusa kwa vyama kufanya mikutano ya hadhara.
Pia Mnyika amedai kuwa katiba ni takwa la wananchi na kwamba wananchi wanahitaji katiba sasa.
Source: BBC Dira ya Dunia
My take; Wananchi walisema lini kwamba wanataka katiba sasa?!
... Hivi Tume ya Warioba na mchakato mzima uliofanywa na ile Tume lengo lilikuwa nini?Akija na ushahidi wa wananchi kudai katiba naomba unitag
My take; Wananchi walisema lini kwamba wanataka katiba sasa?!
... Tume ya Warioba ilikuwa matakwa ya Chadema? Huwa akili mnazitupa wapi kabla ya kuandika ujinga humu?Akisema Chadema wanataka Katiba aina nguvu inabidi asingizie Wananchi.
Walidai wananchi ama ilikua CDM vilevile ila Wananchi wakashirikishwa?.... Hivi Tume ya Warioba na mchakato mzima uliofanywa na ile Tume lengo lilikuwa nini?
Very low . Yaani ujui katiba ya wananchi imefungiwa kabatini??Katibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika amehojiwa na mtangazaji Waziri Khamsin wa BBC kuhusiana na namna chake kilivyopokea mahojiano ya BBC na Rais Samia.
Mnyika amesema sheria ya vyama vya siasa inatoa ruhusa kwa vyama kufanya mikutano ya hadhara.
Pia Mnyika amedai kuwa katiba ni takwa la wananchi na kwamba wananchi wanahitaji katiba sasa.
Source: BBC Dira ya Dunia
My take; Wananchi walisema lini kwamba wanataka katiba sasa?!
Wananchi gani bwashee?!Very low . Yaani ujui katiba ya wananchi imefungiwa kabatini??
... Kwa akili hizi!Walidai wananchi ama ilikua CDM vilevile ila Wananchi wakashirikishwa?.
aliwahi kusema wananchi wako tayari kulipia kodi ya kodi mpyaAkija na ushahidi wa wananchi kudai katiba naomba unitag
Bunge lilikuwa la wanasiasa siyo wananchi manka!Umeuliza ni lini wananchi walitaka katiba mpya? Na mimi nakuuliza lile bunge la katiba lilikuwa bunge la bwana ako? Au ile rasimu ya kwanza na ya pili ya Warioba ilikuwa rasimu ya mumeo?
Kwani ni lini watanzania walikubali Tozo mpya za miamala.Katibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika amehojiwa na mtangazaji Waziri Khamsin wa BBC kuhusiana na namna chake kilivyopokea mahojiano ya BBC na Rais Samia.
Mnyika amesema sheria ya vyama vya siasa inatoa ruhusa kwa vyama kufanya mikutano ya hadhara.
Pia Mnyika amedai kuwa katiba ni takwa la wananchi na kwamba wananchi wanahitaji katiba sasa.
Source: BBC Dira ya Dunia
My take; Wananchi walisema lini kwamba wanataka katiba sasa?!
Inatosha[emoji1][emoji28][emoji2][emoji1241]Kwani wewe ni taahira mpaka usijue ni lini wananchi walisema wanataka katiba? Humjui Jaji Warioba, Samia Suluhu, Pole pole na wengineo? Bunge la katiba lilikuwa bunge la bibi yako? Rasimu ya Warioba ilikuwa rasimu ya hawala yako?
Walipogoma kwenda Burundi!
Chadema nao ni wananchi kwa hiyo hoja yako haina mashikoAkisema Chadema wanataka Katiba aina nguvu inabidi asingizie Wananchi.