Nakumbuka kuna mtu kahukumiwa kwa ugaidi siku za karibuni nadhani ni associate wa mzee wa faru john.Katibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika amehojiwa na mtangazaji Waziri Khamsin wa BBC kuhusiana na namna chake kilivyopokea mahojiano ya BBC na Rais Samia.
Mnyika amesema sheria ya vyama vya siasa inatoa ruhusa kwa vyama kufanya mikutano ya hadhara.
Pia Mnyika amedai kuwa katiba ni takwa la wananchi na kwamba wananchi wanahitaji katiba sasa.
Source: BBC Dira ya Dunia
My take; Wananchi walisema lini kwamba wanataka katiba sasa?!
Ufipa ni matapeli wa siasa!Unaweza ukamjibu kwa lugha yenye staha na ukaeleweka pengine vizuri zaidi.
Nijuavyo mimi, mwaka 2015 CHADEMA walipiga pesa wakasepa. Wanataka liitishwe Bunge la Katiba jingine wapige pesa kisha wasepe tena?
Ritz soma hapa ewe maamumaKwani wewe ni taahira mpaka usijue ni lini wananchi walisema wanataka katiba? Humjui Jaji Warioba, Samia Suluhu, Pole pole na wengineo? Bunge la katiba lilikuwa bunge la bibi yako? Rasimu ya Warioba ilikuwa rasimu ya hawala yako?
Comment yako sio hoja ya mleta mada. Hoja ya mleta mada ni kwamba ni lini wananchi walitaka katiba? Na mimi nimemjibu kwa kumshangaa na kumwuliza hawakumbuki wajumbe wa Bunge la katiba nikamtajia hadi majina yao na kumkumbusha kuwa rasimu ya Warioba haikuwa rasimu ya hawala yake ilikuwa ni rasimu iliyotokana na wananchi. Vipi na wewe hujanielewa?Unaweza ukamjibu kwa lugha yenye staha na ukaeleweka pengine vizuri zaidi.
Nijuavyo mimi, mwaka 2015 CHADEMA walipiga pesa wakasepa. Wanataka liitishwe Bunge la Katiba jingine wapige pesa kisha wasepe tena?
Unaelewa mchakato wa kudai katiba lakini?Wananchi tunataka katiba
Ushahidi ni huu ufuatao:
1)Tulishatoa maoni ya katiba
2)Tulipita kura kupitisha rasmu
3)Bunge la katiba lilifika hadi nusu
Documents zetu zipo,kura zetu zipo,hivi wewe na Suluhu mnaongea mavi gani hasa?
Asante mkuu. Aliesema mnitag kuhusu lini wananchi walihitaji katiba .Jibu hilo hapo KateMiddleton ,matako yako,mpaka mnakera kuturudisha nyuma kwamba nyie hamna uhitaji wa katiba mpya.Kwani wewe ni taahira mpaka usijue ni lini wananchi walisema wanataka katiba? Humjui Jaji Warioba, Samia Suluhu, Pole pole na wengineo? Bunge la katiba lilikuwa bunge la bibi yako? Rasimu ya Warioba ilikuwa rasimu ya hawala yako?
Hao wananchi huyo Warioba na akina Polepole waliwahoji wapi?Comment yako sio hoja ya mleta mada. Hoja ya mleta mada ni kwamba ni lini wananchi walitaka katiba? Na mimi nimemjibu kwa kumshangaa na kumwuliza hawakumbuki wajumbe wa Bunge la katiba nikamtajia hadi majina yao na kumkumbusha kuwa rasimu ya Warioba haikuwa rasimu ya hawala yake ilikuwa ni rasimu iliyotokana na wananchi. Vipi na wewe hujanielewa?
Kumbe hata hujui wabunge wa bunge la katiba waliteuliwa na nani?Kikwete tena? Basi tuhitimishe kuwa wewe ni taahira.
Pole ulikuwa unanyonya wakati wanazunguka nchi nzima tens kwa msafara wa heshima.Hao wananchi huyo Warioba na akina Polepole waliwahoji wapi?
Tupe sample size.
Kwani jomba ww hutak katiba? Mm na uccm wangu nahitaji katiba. Ww n nani hata usiitake hiyo katiba? Tunataka katiba itakayowawajibisha viongoz wez na wala rushwaa hataa baada ya kustaaafuKatibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika amehojiwa na mtangazaji Waziri Khamsin wa BBC kuhusiana na namna chake kilivyopokea mahojiano ya BBC na Rais Samia.
Mnyika amesema sheria ya vyama vya siasa inatoa ruhusa kwa vyama kufanya mikutano ya hadhara.
Pia Mnyika amedai kuwa katiba ni takwa la wananchi na kwamba wananchi wanahitaji katiba sasa.
Source: BBC Dira ya Dunia
My take; Wananchi walisema lini kwamba wanataka katiba sasa?!
Hivi zile bilioni 3 zilizotokana na kodi za wananchi huzionei hata huruma? Zilitumika na tume kukusanya maoni nchi nzima, hivyo yale maoni yalikuwa ya kazi gani kama sio mchakato wa katiba mpya? Pathetic!Akija na ushahidi wa wananchi kudai katiba naomba unitag
johnthebaptist soma hapa wewe msukuleHivi zile bilioni 3 zilizotokana na kodi za wananchi huzionei hata huruma? Zilitumika na tume kukusanya maoni nchi nzima, hivyo yale maoni yalikuwa ya kazi gani kama sio mchakato wa katiba mpya? Pathetic!
I feel very sorry for you!
Wewe unachakatwa. Msengerema wahed. Halafu on top of that, wewe ni mporipori tu.Unaelewa mchakato wa kudai katiba lakini?
Kama huna ujasiri hakuna katiba itakayokusaidia.Kwani jomba ww hutak katiba? Mm na uccm wangu nahitaji katiba. Ww n nani hata usiitake hiyo katiba? Tunataka katiba itakayowawajibisha viongoz wez na wala rushwaa hataa baada ya kustaaafu
Nasubiri katiba mpya ya Ufipa!Bado ujapata uteuzi tu
Akija na ushahidi wa wananchi kudai katiba naomba unitag
Wewe unajuwa wananchi hao walisema HAWAITAKI katiba lini?Katibu mkuu wa CHADEMA mh J J Mnyika amehojiwa na mtangazaji Waziri Khamsin wa BBC kuhusiana na namna chake kilivyopokea mahojiano ya BBC na Rais Samia.
Mnyika amesema sheria ya vyama vya siasa inatoa ruhusa kwa vyama kufanya mikutano ya hadhara.
Pia Mnyika amedai kuwa katiba ni takwa la wananchi na kwamba wananchi wanahitaji katiba sasa.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia
My take; Wananchi walisema lini kwamba wanataka katiba sasa?!
Katibu mkuu wa CHADEMA mh J J Mnyika amehojiwa na mtangazaji Waziri Khamsin wa BBC kuhusiana na namna chake kilivyopokea mahojiano ya BBC na Rais Samia.