Mnyika: Wananchi wanahitaji Katiba Mpya sasa

Nadhani shida yako ni shule. Kichwani huna shule. Kwa hiyo unataka Warioba amuulize mtanzania mmoja mmoja kama anataka katiba mpya? Umekiri watanzania tupo takribani 60milioni, unadhani inawezekana jaji Warioba awamalize wote hawa 60milioni kuwauliza? Tatizo lako ni shule. Kiufupi sana japo najua hutanielewa kwa sababu shule huna hiyo unayoiita fraction ndio watanzania wote 60milion. Baba kuna kitu kinaitwa "sampling" ndio kilichofanyika kuwafikia hao watanzania 60ml. Huwezi kunielewa nimepoteza muda tu kuandika hiki.
 

Hakuna msomi anayejenga hoja yake around usomi wake. Ukiona hilo ujue hakuna msomi hapo!

Kama umekariri “sampling” hilo ni tatizo lako. I doubt you know anything about referendum. If you did, you wouldn’t have brought up the question of sampling at all. First of all, the fraction of the Tanzanians reached by the Warioba Commission isn’t a sample in the strictest, scientific sense of the word!
 
Anatusingizia. Wapi wananchi tulimwambia hivyo. Aache uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…