Mnyika's refusal of talking about his private life dissapoints Clouds FM

Mnyika's refusal of talking about his private life dissapoints Clouds FM

Habarindiyohiyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2008
Posts
263
Reaction score
16
Jamaa mshamba kweli. Anaulizwa na Diva kama ana girlfriend anajibu ooh maswala ya siasa yasichanganywe na siasa. Clouds wakaamua kumkatia simu. Yaani huyu jamaa anafikiri kila sehemu ni kuuza siasa tu? Hajui hata Obama mwenyewe huwa anahojiwa na Alex Blastick, yule mcheza filamu za ngono? Huu ushamba huu wee Mnyika.

Mtangazaji mahiri na maarufu wa kipindi cha Ala za Roho kinachorushwa na Clouds Fm ametoa siri kuhusu mahojiano yake na Mnyika. Siri hizo ni pamoja na ushamba wa Mnyika kuingiza mambo ya umma na maji katika kipindi kinachohusu mapenzi. Diva amesema pia Mnyika alitambua kwamba Diva alikasirika na kumkatia simu baada ya kukaa kujibu swali rahisi kabisa kuhusu mapenzi.

Diva ametoa sauti ya mahojiano yake hayo aliyoyafanya na Mnyika baada ya kumpigia simu na kumrekodi akimuuliza iwapo ana Girl Friend ambapo Mnyika alikataa kujibu wa kisingizio kuwa masuala yake binafsi sio ya kuyazungumza kwenye vyombo vya habari bali mambo ya umma pekee ndiyo anayoweza kuyatolea kauli kwenye vyombo vya habari.

Madai hayo yanasikika kupitia: DIVA VS MNYIKA by DivaAKAmimi on SoundCloud - Create, record and share your sounds for free

Mnyika alitoa madai hayo huku akitambua kwamba yeye ni mwanasiasa hivyo maisha yake binafsi yanapaswa kujulikane yote kwa umma bila kuficha kitu chochote.

Hali hiyo ilimfanya Diva achukie na kukata simu bila mahojiano hayo kwa njia ya simu kukamilika, hali ambayo ilimfanya Mnyika atambue kama anavyosikika kupitia: DIVA VS MNYIKA- BEHIND THE SCENE by DivaAKAmimi on SoundCloud - Create, record and share your sounds for free

..........ndiyohiyo
 
Jamaa mshamba kweli. Anaulizwa na Diva kama ana girlfriend anajibu ooh maswala ya siasa yasichanganywe na siasa. Clouds wakaamua kumkatia simu. Yaani huyu jamaa anafikiri kila sehemu ni kuuza siasa tu? Hajui hata Obama mwenyewe huwa anahojiwa na Alex Blastick, yule mcheza filamu za ngono? Huu ushamba huu wee Mnyika.
Wewe una boyfriend?
 
JJ siyo mshamba wewe ndo inaelekea mshamba, hilo swali ni too personal hivyo halazimiki kujibu, tuambie je wewe una boy friend? nina mashaka ulikuwa na hamu sana na kamanda jj ajibu hilo swali ili upate chance ya kujipitisha, umechemsha hilo swali ni too personal
 
Pia nae ana haki ya kujibu au kukataa kumbuka no comment is a comment,clouds wanapaswa wategeneze habari kwa ku base kukataa kwake as itakuwa habar zaid kuliko kama angejib straight,kama kweli watagazaj walikata simu basi wao ndo washamba kwan swali lilikuwa hilo moja tu!
 
Kwani mtiririko wa mahojiano baina yao ulikuwaje?

Hawa wanasiasa washamba wangepewa kozi ya ujanja kidogo. Eti kipindi cha maswala ya mapenzi jamaa analeta misifa ya kijinga. Clouds safi sana kwa kumkatia simu.
 
Jamaa mshamba kweli. Anaulizwa na Diva kama ana girlfriend anajibu ooh maswala ya siasa yasichanganywe na siasa. Clouds wakaamua kumkatia simu. Yaani huyu jamaa anafikiri kila sehemu ni kuuza siasa tu? Hajui hata Obama mwenyewe huwa anahojiwa na Alex Blastick, yule mcheza filamu za ngono? Huu ushamba huu wee Mnyika.

Hapa ndipo ninapowapendea Clouds Fm. Hawapendi wanasiasa wanaotanguliza siasa. Nakumbuka Kibonde alivyomshukia Mnyika kama mwewe kuhusu Membe, Kikwete na tuhuma za Tanzania kuhusu silaha: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ia-mnyika-wampuuza-kwa-kuchanganya-mambo.html
 
Pia nae ana haki ya kujibu au kukataa kumbuka no comment is a comment,clouds wanapaswa wategeneze habari kwa ku base kukataa kwake as itakuwa habar zaid kuliko kama angejib straight,kama kweli watagazaj walikata simu basi wao ndo washamba kwan swali lilikuwa hilo moja tu!

Kipindi kinazungumzia mapenzi, jamaa anakataa kukubali kama ana mchumba au hana. Hivi kuna tatizo gani hapo? Mbona mwenzake Zitto huwa anakubali?
 
Hizo ni personal za mtu ana uhuru wa kusema au kutokusema sasa ushamba unao wewe unaye waza upande mmoja wa shillingi kuwa ni lazima ajibu. Pole sana maana najua kutokukujibu amekukwaza kukamilisha azima yako ya kujipendekeza kwake kupata hiyo nafasi.
 
john mnyika am singooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo endi redi tu mingo jamani mie namzimia nilijipendekeza facebook akanichunia....ndio tatizo la kusoma shule za seminary hata emotions zenu mnajifunza kuwa ziwe reserved maisha mnayakompliketi bureeeee.....
 
Yaaani Diva amuhoji Mnyika! Hebu tokeni hapa! Diva! Diva! Hata kama ni mapenzi hajui azungumzeje na mtu kama Mnyika! Hebu fikiria angekuwa Masoud Masoud au John Dilinga unafikiri Mnyika angechomoka!
 
Hawa wanasiasa washamba wangepewa kozi ya ujanja kidogo. Eti kipindi cha maswala ya mapenzi jamaa analeta misifa ya kijinga. Clouds safi sana kwa kumkatia simu.
Tunataka wanasiasa wa namna hii ambao wanachagua ni wakati gani wanatakiwa wajibu kitu gani. Hatuhitaji kuwa na wanasiasa waropokoji. Mh. Mnyika ni mwelevu sana amegundua kuwa kujibu swali hilo kama muulizaji alivyotaka ameona haitawasaidia watanzania katika kupambana na masaibu mbalimbali ya kimaisha. Big up Mh. Mnyika
 
john mnyika am singooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo endi redi tu mingo jamani mie namzimia nilijipendekeza facebook akanichunia....ndio tatizo la kusoma shule za seminary hata emotions zenu mnajifunza kuwa ziwe reserved maisha mnayakompliketi bureeeee.....

Mmhm,bira ya wewe umefunguka dada na umeeleweka,single,ready to mingle in the jungle!!! Haya Radhia utamu(sweety?!) na wewe funguka!! Jamii forums never bored!!
 
Tunata wanasiasa wa namna hii ambao wanachagua ni wakati gani wanatakiwa wajibu kitu gani. Hatuhitaji kuwa na wanasiasa waropokoji. Mh. Mnyika ni mwelevu sana amegundua kuwa kujibu swali hilo kama muulizaji alivyotaka ameona haitawasaidia watanzania katika kupambana na masaibu mbalimbali ya kimaisha. Big up Mh. Mnyika

Sasa mbona ni kama unamponda tu? Kujua kuongea kitu kwa wakati muafaka si ndiyo ingekuwa pale! Halafu siyo kweli kuwa kukataa kuongelea mapenzi inamaanisha umakini wa mtu. Huyo Bush mwenyewe alikuwa anapiga story na Oprah. Mnyika nani bwaaaaanaaaaaaa?
 
it was like this, una GF?

Simple answe: haya ni maisha binafsi na sio ya uma. Maisha yangu, kaka, dada na mke au kama hivo ni yangu sio ya uma.

Clouds FM inakata simu,

Poa tu kata.
 
Back
Top Bottom