Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni: Katika Mgomo wa wafanyabiashara, kosa la Mwigulu Nchemba ni lipi?

Kweli unajiita mfanyabiashara halafu huoni makosa ya Waziri anayehusika na fedha?,hujui nguvu ya waziri wa fedha katika mabadiriko ya biashara? wewe ni chawa
Hawa Fortilo na ChoiceVariable itakuwa ni I'd za @mwagulu au CHAWA wake, au amewanunua kumtetea..

Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kumtetea Mwigulu kwa maovu anayofanya na kukejeli wananchi kuwa wahamie Burundi
 
Hakuna kitu kinaumiza kama Ile Kodi ya asilimia kumi ambayo anapaswa kutoa mwenyewe frem na si mpangishaji ila ukienda tra wanakulazimisha wewe mpangaji ndiyo ulipe!
 
Daktari wa uchumi asiyejua athari za kuingiza VAT kwenye biashara ndogo. Anasababisha tusione umuhimu wa kuwa na elimu. Au ndo mazara ya vyeti feki.
 
tangu lini madelu akawa mnyonge
 
Ebu shangaa vyote hajaviona mwigulu hasafishiki
Jamaa anajizima data,siyo bure.

Bando zinapepea kama upepo,vifurushi vimepunguzwa ..
Pesa zetu za kudunduliza tunatuma kupitia mitandao ya simu zinakatwa hadi basi..
Tunatumia,jamaaa ameshiba hela zetu za kodi,,
Anasema hamieni Burundi.


Kwa kweli wafanyabiashara ilitakiwa wamnange zaidi ya hapo.
Binafsi nimefurahi sana,,ikiwezekana washikilie hapahapa hadi jamaa aondolewe.
 
Wewe sio mfanyabiashara, ninyi ndyo mnafanya kazi hamjawai kuuza hata mandaazi, unaongea theory za kijinga jinga. Fungua biashara tuonyeshe banda la ko tuone kama unayoongea ni kweli.
 
Mwigulu Bwana, Kwa hiyo hapa umekuja na Ka ID kengine?
 
Ila nimependa wamemnanga sana kwa maneno ya kejeli maana yeye huwa anajidai bingwa wa maneno ya kukararisha.

Kuna mwamba anasema,unajitia Dokta,Dokta wa wapi wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilijua tu, mwigulu anachukiwa na wachambaji.
 
Hakuna mfanyabiashara bogus kama wewe.

Wafanyabiadhara halisi kina Freddy Vunjabei tumewasikia wenyewe leo na hata mama Bonge tumemsikia, wewe ni chawa tu wa Mwigulu.

Wewe ndo bogus mwenzio mfanyabiashara weer unataja kina Fredy sijui nani ! Kama hufanyi biashara huwezi jua alichoandika jamaa hapo na ni mmoja kati ya waliothubutu kusimama upande wa Mwigulu Nchemba maana kila mfanyabiashara alikua anavutia kwake na lazima iwe hivyo sababu mwisho wa siku mfanyabiashara atataka apate yeye faida na sio Serikali
 
Hakuna mfanya biashara anayeweza kuandika upuuzi ulioandika! Mtetee Bwana'ko ila usijivike ufanyabiashara.
 
Yaani kama hujui kosa la Mwigulu ni lipi basi una tatizo kubwa sana. Hujasikia kuwa alikaa nao vikao na hajatakeleza chochote?

Tatizo lenu mnahisi jambo linatakiwa kutekelezwa hapo hapo tunajua mlitegemea mapendekezo ya wafanyabiashara yangepatiwa ufumbuzi palepale kumbe Haya mambo mchakato
 
Chawa kazini hivi haujaoana malalamiko ya wafanyabiashara kwamba walikuwa wanakutana naye kwenye vikao na akitoka anaenda kufanya tofauti na walivyoongea

Shida yenu wengi ni kuwa mtu akisimama upande wa serikali basi ni chawa akili finyu sana hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…