Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
😂😂😂😂😂😂 sasa wenye chama mmerejea kutufanya aiseeeAcha tutumie fursa,
Miaka 5 ya njaa Kali mpaka tulianza kuonekana hapa Mjini watu wakuja kwenye chama wakati sisi ndo wenye chama......!
Tumerejea kwa nguvu, Ari, kasi na njaa zaidi kuliko miaka Ile[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wenye chama mmerejea kutufanya aiseee
Abomoe kibaraza atajificha wapi mvua
CCM wanatuharibia mahakama zetu, ili zifanye wanavyotaka wao - hii ni mbaya sana.Acheni CCM na serikali yake wapambane na ugaidi wa Mbowe na Chadema
Kenge sio msikivuHii ni ishara katika ulimwengu wa roho kwamba kuna kitu watawala bado wanaendelea kumkosea Muumba wetu, Ishara hii ya mvua kuchelewa si nzuri, bado watawala wetu wana muda wa kujisahihisha.
CCM hebu jirekebisheni, acheni kuonea watu - machozi ya roho zao yanamlilia Muumba wao - hamtakia salama kama mtadharau ishara hii, Mungu anajaribu kuongea na ninyi. Acheni kuonea watu.