Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni: Rais Magufuli yupo well-informed na fiti sana kichwani kwa kumbukumbu. Ana data hadi za majungu hatarishi ya ndoa!

KILAZA MKUBWA WEWE. ENGLISH YENYEWE HUJUI KAZI KUJI BARAGUZA. WEWE NI MLAMBA VIATU VYA WANAUME WENZAKO NI AIBU. NGOJA MISAADA YOTE IKATWE NDIO MTATIA AKILI. ENDELEENI KUMU IMBIA MAPAMBIO NA KUM TUKUZA PLUS KUSU JUDU NA KUMU ABUDU .
Taratibu mkuu, huyo Pasco nenda naye polepole sometimes ni mchokoza mada tuu.
Huna haja ya kuchukia kiasi hicho bali kumshukuru kwa kuanzisha kwake jambo litakalo kupa nafasi ya kutiririka eitha ukimpinga au kumuunga mkono huku yeye kashika glass ya mvinyo anacheka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana unyonge gani huyo makufuri....?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mr P..
1) Nadhani TBC ni Mali ya serikali na ndio wanalipwa kutoka huko... obviously wao wenyewe wanajiset kuegemea kwenye shughuli za boss wa serikali
2) Rais anapata taarifa zote muhimu na zisizo muhimu
3) Panga pangua hutokea kutokana na kufail Kwa mteuliwa ktk KAZI mpya...just because lukuvi ni waziri mahiri kwenye Ardhi sina hakika can do equally effectively akipewa Fedha, Uchumi na mipango.
4) Sipendi kuamini kwamba states za nje zinaweza kuwa na accurate information kuhusu Taifa letu kuliko Commander in chief wetu regardless of their brilliance in intelligence still our leader has the edge.
5) Tuwashauri wasaidizi wa Rais wafanye kila wawezalo kutimiza wajibu wao bila kutengeneza chuki na wananchi wa Kada Zote..by doing so watampa Rais KAZI nyepesi Sana.
 
Masanyiwa ngomango.

 
Uko vizuri bro, na hiyo ndio fairness. Si vizuri kuonesha ubaya tu au uzuri tu wa mtu au kitu, ni vyema kuonesha vyote.
Unafiki ni pale unapokuwa unaona upande mmoja tu na ku ignore upande mwingine as if haupo. Kila mtu/kitu kina uzuri na ubaya wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni, Rais Magufuli, kwanza yuko well informed kwa upande wa data za utendaji wa wateule wake wote! kichwani yuko fiti sana katika utunzaji wa kumbukumbu kutoka kichwani,

Nawatakia Jumatatu Njema.

P
Wanabodi, mimi ni miongoni mwa wana jf, tuliandika mengi kumhusu rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivyo kipindi hiki cha maombolezo, napitia baadhi ya mabandiko kwa ajili ya kumuaga rasmi.

Japo umetangulia, lakini kauli zako, maono yako na kile ulichokiamini, kitabaki na sisi Milele.
Sisi tulikupenda, lakini Mungu amekupenda zaidi.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa Milele, Umuangazie, Apumzike kwa Amani...Amina x3.
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Buriani ya kuonana...
Paskali
 
Mshenzi tu huyo ngoja afukiwe ndiyo tujipange vizuri chini ya Mama Samia. Huyu kamwe asingeondoka kwa kura za kwenye sanduku.

Ule UJINGA aliifanya Oktoba 2020 wa kuiba uchaguzi wote UMEMKASIRISHA Mungu. Mungu ameingilia kati, nchi yetu ilikuwa inakwenda kuwa ya chuki kama za wahutu na watusi na kiuchumi tulikuwa tunakwenda kuwa sawa na Zimbabwe.

Sifa na utukufu tumrudishie Mwenyezi Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…