Designated
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 422
- 1,088
Mtaalam wa lugha ya kiswahili na misemo kama hiyoHakuna mtaalum mbele ya kunyongwa wewe
Huu msemo unatumika sana, lakini binafsi huwa siuelewi yani unamnyonga mtu halafu unampaje haki yake.
Naona kama msemo wa kinafiki. Wataalam hebu nisaidieni.