Mnyonge mnyongeni haki yake wapeni Simba

Mnyonge mnyongeni haki yake wapeni Simba

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Hawa jamaa mpira wanaucheza. Wana aina yao ya mpira ambayo inabaki kuwa yao. Naona toka amekuja huyu coach kama wameanza kukaa sawa. Simba wana cheza mpira mzuri wa kuvutia.

Lakini naamini sisi Yanga tutachukua Ubingwa kwa hali na mali. Hilo halina ubishi. Huyu Sakho na Kanoute ni maingizo bora kabisa ya Simba. Simba kwa hawa walifanya mambo makibwa maana wana umri mzuri.

Ukimwacha Nyoni yule nadhani mpira wa hapa umemshinda. Nguvu hana. But all in all... Simba wanacheza kandanda zuri sana. Ila Yanga tunashinda
 
Back
Top Bottom